aminangalo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 974
- 190
Viva ccm viva
![]()
Duh! haya ndio maajabu kweli Ukistaajabu ya CUF utayaona ya CCM. Kweli hiki chama kimezeeka maana hata wafuasi wake hata wakiwa na umri mdogo wanaonekana wazee kama picha zinavyojionyesha.
hizi ni data za REDET ?
Safi saana wazalendo tuko nyuma yenu,!
kelele za watafuna ruzuku na viongozi wao wakudumu hazina nafasi kwa watanzania wazalendo wenye macho ya ndani!
COROLLA iliyochakaa hata uipake puti ya kijerumani ni sawa na bure !
katika kudhihirisha kwamba kina mtaji wa kutosha! Chama cha mapinduzi chini ya waenezi na wahamasishaji wake wa ngazi za matawi na mashina,wameanzisha utaratibu unaokubalika wa kujitambulisha katika jamii kwa kukarabati na kufungua mashina mapya kwa wingi na kwa kasi ya ajabu katika maeneo na mitaa yote ya ya jiji la mwanza.kwa leo ninakudhihirishia kwa kukuwekea picha za vikao na harakati za ujenzi wa mashina katija mtaa wa kangaye kata ya nyakato.hii ni katika pitapita yangu ya kutaka kujua ukweli wa habari hizi.wananchi wa mtaa wa kangaye ambao wamejitolea hata kuchangiwa chochote na chama wamewawaomba viongozi wa ngazi mbalimbali kuanzia kata,wilaya,mkoa na hata taifa wakiwemo wabunge kukubali mualiko kutoka kwa katibu kata wa nyakato nd;mkumba wa kutembelea shina la wakereketwa wa ccm la kangaye 'b' ili kutoa hamasa ya hali na mali au hata kuwawezesha kwa harambee za kuwapongeza,kwani wameonyesha kwamba kwa hiyari yao na kwa uwezo wao mdogo wametengeneza uhai wa chama.ccm oyeee,kidumu chama cha mapinduzi.angalia picha hapo chini-taarifa kwa hisani ya 4664 mwamsaga.
CCM bado tu wanajitambulisha?
Ninyi pakeni rangi sie tunaendelea kufanya mambo,ona sasa msingi wa shina umekamilika sasa hivi ,tunavyoongea mafundi wanakabidhi kazi kwa wanachama.😱na picha.
Mda huu naandika huu mchango humu jf kuna wachumia tumbo wananing'inia kwenye NGUZO ZA UMEME KUPIGILIA MATAMBALA YAO YA MAGAMBA KIJANI,MCHANA WAMEOGOPA MAANA WALIJARIBU KUTUNDIKA UCHAFU WAO WAKAWA WANAZOMEWA WAKAKIMBIA NA NDO WAMERUDI USIKU HUU KUFANYA UPUMBAFU WAO TENA.Yaani hawajiamini kama wezi vile. Ccm kwisha habari yao,mbeya kiboko yao.
Mwamsaga,hako ka simu kako ndo kameweka hizo picha au umesaidiwa?
nakusihi achana na ccm itakuzeesha njoo kwenye uhai na uzima kaka