CCM Mwanza waumbuka kanisani

CCM Mwanza waumbuka kanisani

JALUO

Senior Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
168
Reaction score
45
Katika hali isiyo ya kawaida tareha 17 july 2013,Chama cha Mapinduzi kilipatwa na msiba kwa kufiwa kada wake ndugu Chombo aliyekua balozi ndani ya mtaa wa Mandu Mashariki hapa jijini Mwanza,mwili ulipelekwa kanisa katoliki kigango cha Mandu kwa ibada,jeneza lilifunikwa kwa bendera ya CCM mpaka ndani ya kanisa kitu kilicho anza kuwakera waumini.

Kama vile haitoshi,CCM wakaomba kusoma risala fupi ya marehemu na hapo ndo kikanuka pale msoma risala alipomalizia kwa kusema kidumu Chama cha Mapinduzi,akaitikiwa kwa mayowe na zomeazomea kanisani ndipo nikaona niwaulize wadau wenzangu wana CCM kua kama hata kanisani tunazomewaaaa!!!!!wapi tutakua salama????
 
si shangai, Ingekuwa Chdema wasinge zomea kwasababu CHADEMA NA kANISA ni kama pete na kidole
 
Yaani ccm ni kikundi cha watu wehu, sasa huko kanisani kuna siasa na itikadi za ccm. They dont know what to talk at the right place, Right time and to the right people.
 
Hawakuimba nyimbo zao za komba? Hawana aibu hawa wauaji
 
Katika hali isiyo ya kawaida tareha 17 july 2013,Chama cha Mapinduzi kilipatwa na msiba kwa kufiwa kada wake ndugu Chombo aliyekua balozi ndani ya mtaa wa Mandu Mashariki hapa jijini Mwanza,mwili ulipelekwa kanisa katoliki kigango cha Mandu kwa ibada,jeneza lilifunikwa kwa bendera ya CCM mpaka ndani ya kanisa kitu kilicho anza kuwakera waumini.

Kama vile haitoshi,CCM wakaomba kusoma risala fupi ya marehemu na hapo ndo kikanuka pale msoma risala alipomalizia kwa kusema kidumu Chama cha Mapinduzi,akaitikiwa kwa mayowe na zomeazomea kanisani ndipo nikaona niwaulize wadau wenzangu wana CCM kua kama hata kanisani tunazomewaaaa!!!!!wapi tutakua salama????

Hawa hawana Dini, na ndio maana ni CHAMA CHA MAJAMBAZI (CCM).

Yaani Balozi wa Nyumba kumi naye jeneza linafunikwa Bendera!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ama kweli CCM wameishiwa na sera!!!!!!!

kanisa katoliki hatutumiee salamu ya Kidumu Cham Cha mapinduzi, bali Wanasalimiana "TUMSIFU YESU KRISTO"

Sasa hao wendawazimu kupeleka bendera ya chama kanisani na ikiwa kanisa lina bendera yake " NJANO NA NYEUPE"

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!!
 
''change in leadership in African undemocratic nations has its cost,sacrifise and pain,,,,,lets not be lied by any political side about a nation we want rather than pray not for tears of blood and sweat of foolishness'' a quote by nyangi
 
Hakuna sasa nawatoto wa shule wanajua kuwa ccm janga

uchaguzi wa Nasari Samweli kule Arumeru kuna shule moja ambayo iko karibu kabisa na nyumbani kwa sioi Sumari wanafunzi waliuzmea msafara wa CCM na wanafunzi hao kupewa adhabu kali bahati nzuri jioni yake chadema walikuwa wanaenda kufanya mkutano eneo hilo wakapata taarifa wakafika shuleni hapo na kukuta wanafunzi hao wakiendelea na adhabu hiyo ndipo walipoingilia kati mpaka kuhakikisha wanaachiwa kwenda nyumbani kama wanafunzi wengine.
 
Japo kuwa wote waliofanya hivyo wanajua fika kuwa siasa dini havichangamani tuwasamehe bure
 
Katika hali isiyo ya kawaida tareha 17 july 2013,Chama cha Mapinduzi kilipatwa na msiba kwa kufiwa kada wake ndugu Chombo aliyekua balozi ndani ya mtaa wa Mandu Mashariki hapa jijini Mwanza,mwili ulipelekwa kanisa katoliki kigango cha Mandu kwa ibada,jeneza lilifunikwa kwa bendera ya CCM mpaka ndani ya kanisa kitu kilicho anza kuwakera waumini.

Kama vile haitoshi,CCM wakaomba kusoma risala fupi ya marehemu na hapo ndo kikanuka pale msoma risala alipomalizia kwa kusema kidumu Chama cha Mapinduzi,akaitikiwa kwa mayowe na zomeazomea kanisani ndipo nikaona niwaulize wadau wenzangu wana CCM kua kama hata kanisani tunazomewaaaa!!!!!wapi tutakua salama????

Sehemu salama kwa CCM ni kaburini!
 
Back
Top Bottom