CCM Mwanza kwisha

Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Mtalazimisha sana ila ukweli unabakia pale pale kuwa ccm imechokwa sana na wana mwanza na haitakiwi
Hiyo picha inalenga kamera upande wa barabarani. Ulitaka watu wakae huko siyo, hebu acheni propaganda za kitoto
 
Utawasikia ccm eti ni chama pendwa
Masikini watoto wenyewe wamejikatia tamaa wameshika shavu na kushika tama huku wengine wakiendelea kujitengenezea mifagio ya chelewa hata hawaelewi mishimiwa anaongea nini.
 
Alijenga na jukwaa kabisa😅
 
Au ilikuwa siku ya watoto duniani?? hahahaa
 
Mikutano imeruhusiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…