Mh: Mbunge anatimiza wajibu kupeleka mrejesho kwa wapiga kura wake,,
sioni haja ya kuacha shughuri zangu kwenda mkutanoni wakati changamoto zote zinatatuliwa kwa wakati,, Mh: Stan Mabula piga kazi kaka tuna imani na wewe,,,
Mwanza ndio sehemu ambayo wamachinga wamenyanyaswa kuliko sehemu yoyote Africa , wamepigwa kuliko kwenye filamu ya sarafinaWananchi wa mkoa wa mwanza wameanza kuionyesha ccm kwa vitendo kuwa wameichoka na hiyo inathibitishwa na ususiaji wa mikutano ya wabunge wa chama hicho mkoani humo.
Hapo ni jana wakati mbunge wa Nyamagana akihutubia mkutano wa hadhara.
Mwenye macho na atazame.....
View attachment 1122332
CCM ni jina na nikukumbushe tu watu wanachoka watu waliopo kwenye taasisi na sio jina la taasisi.hao majamaa huwa ni mabingwa wa kujibadilisha kulingana na muda na events za muda huo.Watu wameichoka ccm
CCM ni jina na nikukumbushe tu watu wanachoka watu waliopo kwenye taasisi na sio jina la taasisi.hao majamaa huwa ni mabingwa wa kujibadilisha kulingana na muda na events za muda huo.
Ndio maana hawataki ma-DED waondolewe kusimamia uchaguzi!!
....hivi sasa anatumia nguvu kubwa ili abaki
Umechanganya neno la kiingereza kwenye sentesi ya kiswahili umeharibu ulichotaka kusema kuwa sasa mambo ni moto chini kwa chini.Mkuu wazo lako ni zuri sana na kwa sasa mambo ni fire chini kwa chini siunajua?
Umechanganya neno la kiingereza kwenye sentesi ya kiswahili umeharibu ulichotaka kusema kuwa sasa mambo ni moto chini kwa chini.
Kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake! Jipangeni 2020 tunasafisha wapinzani wote! Kazi kubwa na Nzuri anayoifanya JPM kila Mtanzania anakiri na kukubali kuwa CCM ndio mpango mzimaHuwezi kuwa na akili timamu ukaifagilia sisiem ya awamu hii
Kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake! Jipangeni 2020 tunasafisha wapinzani wote! Kazi kubwa na Nzuri anayoifanya JPM kila Mtanzania anakiri na kukubali kuwa CCM ndio mpango mzima
Tuambie uzuri wake..au unaongelea sura?Mhe Mabula Mbunge wa Nyamagana hana tatizo. Ni Mbunge mzuri sana.