CCM Mwanza kwisha

Bora kuwa muongo kuliko kuwa mnafiki na mzandiki kama wewe na lumumba wenzako
Sawa imechokwa, lakini wewe ni muongo mashuhuri, hata ndugu zako wa karibu hawakuamini.
 
Hiyo ndiyo akili yako hakuna wa kukulaumu endelea Kula ugali na mapanki huku ukiimba ccm ccm
Watu kama Mimi wapi wengi saaaana ila hawana muda wa kubishana na watu wasio na dira kwenye chama chao, ila tunajipanga kuwanyima hata serikali za mitaa
 
Kumbe sasa ni RUKSA mikutano ya hadhara!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…