Napenda kuwapa habari zilizo jili mitamboni kwetu kuwa viongozi wa CCM katika wilaya hizi 3 Ilemela,Nyamagana na Arusha mjini.
Viongozi hawa watakuta katika majimbo yao na kujadilia na kujua kulikoni kupoteza majimbo muhimu sana ambayo ndio zilikuwa ngome za CCM.
1: Moja ya agenda kuu ni kuwa Kinana(Campaign Manager-CCM 2010) amesikitishwa sana na kuwepo kwa makundi mengi ndani ya CCM katika nchi nzima esp kule waliko poteza majimbo yao kongwe.
2ili Kumtafuta Mchawi wao.
Nkajiuliza ulishaona wapi mchawi anamtafuta mchawi mwenzake teh teh teh inanisikitisha sana kuona viongozi wa ngazi ya juu CCM walishindwa kututatua matatizo hayo ambayo yalianza kwa UVCCM, Kura za Maoni ubunge ndani ya CCM,Kuruhu MAFISADI kukitawala chama kwa mabavu.
mchawi wao mbona anafahamika na kila mtanzania ni kikwete na makamba. hakuna wachawi zaidi ya hao. wanaendesha chama kiuswahiliswahili. uliona wapi waswahili wanafanya mambo ya maana!!
mchawi wao mbona anafahamika na kila mtanzania ni kikwete na makamba. hakuna wachawi zaidi ya hao. wanaendesha chama kiuswahiliswahili. uliona wapi waswahili wanafanya mambo ya maana!!
Yusuph Makamba You Must Gooooooooooooo
Makatibu wa CCM kwenye majimbo waliyopoteza They Must Gooooooooooooo
Wenyeviti wa UVCCM kwenye majombo yote CCM walipoteza They Must Gooooooooooo
napenda kuwapa habari zilizo jili mitamboni kwetu kuwa viongozi wa ccm katika wilaya hizi 3 ilemela,nyamagana na arusha mjini.
Viongozi hawa watakuta katika majimbo yao na kujadilia na kujua kulikoni kupoteza majimbo muhimu sana ambayo ndio zilikuwa ngome za ccm.
1: Moja ya agenda kuu ni kuwa kinana(campaign manager-ccm 2010) amesikitishwa sana na kuwepo kwa makundi mengi ndani ya ccm katika nchi nzima esp kule waliko poteza majimbo yao kongwe.
2ili kumtafuta mchawi wao.
Nkajiuliza ulishaona wapi mchawi anamtafuta mchawi mwenzake teh teh teh inanisikitisha sana kuona viongozi wa ngazi ya juu ccm walishindwa kututatua matatizo hayo ambayo yalianza kwa uvccm, kura za maoni ubunge ndani ya ccm,kuruhu mafisadi kukitawala chama kwa mabavu.