CCM mtaondoka tu, hili halina mjadala

Mkuu labda aina ya vyakula ina weza kusababisha fikra tofauti.
Mmoja ana kula chakula cha kawaida na mbogamboga akishushia na matunda na mwingine anakula viwavi na magunzi akishushia na ubuyu.
Lazima bongo zao ziwe tofauti
nimecheka sana !
 
Ni kweli mwisho wao umekaribia sana. Imagine, Lindi na Mtwara ambayo ndiyo ilikuwa NGOME yao ya kuaminika, wamepoteza majimbo 7 katika uchaguzi mkuu uliopita. Wanakusini wanasema lengo lao ni kuifuta kabisa CCM mpaka kufikia 2025. Tusubiri.
Na ukanda wa ziwa ambao ndio ulikuwa ngome ya ukawa imerufi ccm hivyo ni draw match. Usiangalie huko tu.
 
Naelewa wengi mtakuwa kwenye ndoto kuwa CCM itaikalia Tz mpaka mwisho wa dunia ,mbona mnajidanganya kwa hali ninavyoiona ni suala la mida tu ,ila mnakwenda na maji ,hii kamata kamata bin vunjavunja haitowasaidia zaidi ya kuwadumaza na kubaki na mawazo ya kuitawala nchi kwa kutegemea polisi na vyombo vingine ,mpaka lini mtakuwa hamjiamini hadi ifikie kuwakamata viongozi wavyama vikuu vya upinzani ,Mandela alikamatwa na kuswekwa jela ,hivi Waafrika waliobakia uraiani waliogopa vifaru vya kaburu ?

Siuoni muelekeo wa CCM kuwa Chama kinachopendwa na wananchi muelekeo huo haupo bado wananchi walio wengi wana imani Tanzania iliyobora na yenye serikali inayopendwa na wananchi itatokea katika vyama vya upinzani ,Tanzania inayoongozwa na serikali yenye kulinda haki ya raia zake na inayohakikisha sheria haipindishwi na wengine kuwa juu ya sheria na vyama vyote vinahukumiwa kwa mujibuwa sheria itatokea upinzani na sio kutoka kwenye serikali zaCCm.

CCM haina mvuto kwa wananchi hilo nadhani halina ugonvi ,unajua wananchi bado hawapo huru ndani ya nchi yao na ndio ikaona CCM wanafanya wanavyotaka na hili sio linafanywa kwa viongozi waupinzanihata wananchi huko mitaani bado hali ni tete kwa maana inakuwa rahisi kudhulumiwa ikiwa tu atakumbana na CCM katika mahitaji ya kila siku ,tunawaona watu wanapigwa zaidi kwa sasa ni upande wa Zanzibar ,polisi hawana habari na wao huwa siku zote ni wenye kulzifanyia uchunguzi habari hizo ,

Hivi viongozi wa CCM hawajawahi kutoa viashirio vya uchochezi ? Ni lini polisi waliwaita kwenye vituo na kuwahoji ?

Juhudi za Mh.Magufuli zitakuwa hazina faida kama kuna upande unagandamizwa ,sheria zinatumikia upande mmoja ,wananchi walio wengi wakichoka na uovu basi hakuna cha kuwasimamisha na ndipo tulipo hakuna cha kuwasimamisha katika kuhakikisha liwe liwalo CCM inaondoka maddarakani.

Mimi mwenyewe nataka CCM iondoke,lakini nataka iondolewe na ulinzani makini ulioadilika. Upinzani uliopo hauna tofauti sana na CCM. Sitaki atoke kenge halafu aingie mamba. Huo ni mtazamo wangu kama hutaki pita kimya.
 
Wamejifunza hawatabadili gia angani tena
 
Hata mm ningependa ccm iondoke, sasa hoja ni nan anaitoa ccm? Kama cdm hapana, may cuf, mmm hapana, may act wazalendo bado wachanga sana,

Cdm walikuwa na nafasi nzr sana, bahati mbaya walishau kuwa ccm inaijua siasa kuliko maelezo, ikawapa edo ambae alikuwa amekufa kisiasa nanyi mkapokea mkadhan kuwa ni embe safi kumbe limeoza lote, kwa hyo sasa mmebakiza migogoro na hamna ajenda, baada ya miaka 5, mtaisha kabisa nakubaki kama nssr mgeuzi,

Cuf bahat mbaya wanabebwa na cdm wakisimama peke yao wamekwenda na maji, ila ninachokiona kama mnaigiza mchezo wa kanumba tu..

Mwisho upinzani wa kweli hauwezi kuja kwa cdm na cuf may b kwa act wazalendo.. nmesema may b.. bt hyo cdm na edo wenu imatafuna kwenu
 
Hakuna asiyejua kwamba iko siku CCM itaondoka lakini kwa mwendo huu, baada ya Magufuli aje mwingine kama yete sahauni?

By the way kwa sasa sioni cha cha upinzani halisi, naona vyama vya wahuni tu wala matapishi wenye tamaa ya kuingia ikulu na si kwa lengo la kuwasaidia watanzania, tunataka kije chama cha wasafi wafia nchi wenye uchungu na maendeleo na malighafi za nchi hii na si walafi wa madaraka kama UKAWA.
 
Kama ushalala hospitalini na mgonjwa,wakati anakaribia kufa huwa anawapa watu matumaini sana kuwa anapona[anakuwa na nafuu ghafla].Baada ya hapo ndo anaondoka duniani[anakufa].Kwa mfano huu CCM inaye Magufuli kama Rais na anaonesha matumini ila ndo mwisho umefika. Let's wait for 2020 If ever the party will exist, she may as well die before.It's just
 
Naelewa wengi mtakuwa kwenye ndoto kuwa CCM itaikalia Tz mpaka mwisho wa dunia ,mbona mnajidanganya kwa hali ninavyoiona ni suala la mida tu ,ila mnakwenda na maji ,hii kamata kamata bin vunjavunja haitowasaidia zaidi ya kuwadumaza na kubaki na mawazo ya kuitawala nchi kwa kutegemea polisi na vyombo vingine ,mpaka lini mtakuwa hamjiamini hadi ifikie kuwakamata viongozi wavyama vikuu vya upinzani ,Mandela alikamatwa na kuswekwa jela ,hivi Waafrika waliobakia uraiani waliogopa vifaru vya kaburu ?

Siuoni muelekeo wa CCM kuwa Chama kinachopendwa na wananchi muelekeo huo haupo bado wananchi walio wengi wana imani Tanzania iliyobora na yenye serikali inayopendwa na wananchi itatokea katika vyama vya upinzani ,Tanzania inayoongozwa na serikali yenye kulinda haki ya raia zake na inayohakikisha sheria haipindishwi na wengine kuwa juu ya sheria na vyama vyote vinahukumiwa kwa mujibuwa sheria itatokea upinzani na sio kutoka kwenye serikali zaCCm.

CCM haina mvuto kwa wananchi hilo nadhani halina ugonvi ,unajua wananchi bado hawapo huru ndani ya nchi yao na ndio ikaona CCM wanafanya wanavyotaka na hili sio linafanywa kwa viongozi waupinzanihata wananchi huko mitaani bado hali ni tete kwa maana inakuwa rahisi kudhulumiwa ikiwa tu atakumbana na CCM katika mahitaji ya kila siku ,tunawaona watu wanapigwa zaidi kwa sasa ni upande wa Zanzibar ,polisi hawana habari na wao huwa siku zote ni wenye kulzifanyia uchunguzi habari hizo ,

Hivi viongozi wa CCM hawajawahi kutoa viashirio vya uchochezi ? Ni lini polisi waliwaita kwenye vituo na kuwahoji ?

Juhudi za Mh.Magufuli zitakuwa hazina faida kama kuna upande unagandamizwa ,sheria zinatumikia upande mmoja ,wananchi walio wengi wakichoka na uovu basi hakuna cha kuwasimamisha na ndipo tulipo hakuna cha kuwasimamisha katika kuhakikisha liwe liwalo CCM inaondoka maddarakani.
mkuu najua una uchungu sana lakini mkuu ilidondoka roman empire itakua ccm isidondoke ina nini,kuwa namba moja kwa muda haishndkan ila milele haiwezekan.....itaondoka tu tena pale unapoona wanazidi kutumia vyombo vya dola kunyanyasa wengine ndo mwsho wao unavyozidi kukaribia....tena kwa yale waliofanyiana dodoma,kwa haya ya makamba na wassira,ccm itaanguka tena wataingusha wana ccm wenyewe
 
Naelewa wengi mtakuwa kwenye ndoto kuwa CCM itaikalia Tz mpaka mwisho wa dunia ,mbona mnajidanganya kwa hali ninavyoiona ni suala la mida tu ,ila mnakwenda na maji ,hii kamata kamata bin vunjavunja haitowasaidia zaidi ya kuwadumaza na kubaki na mawazo ya kuitawala nchi kwa kutegemea polisi na vyombo vingine ,mpaka lini mtakuwa hamjiamini hadi ifikie kuwakamata viongozi wavyama vikuu vya upinzani ,Mandela alikamatwa na kuswekwa jela ,hivi Waafrika waliobakia uraiani waliogopa vifaru vya kaburu ?

Siuoni muelekeo wa CCM kuwa Chama kinachopendwa na wananchi muelekeo huo haupo bado wananchi walio wengi wana imani Tanzania iliyobora na yenye serikali inayopendwa na wananchi itatokea katika vyama vya upinzani ,Tanzania inayoongozwa na serikali yenye kulinda haki ya raia zake na inayohakikisha sheria haipindishwi na wengine kuwa juu ya sheria na vyama vyote vinahukumiwa kwa mujibuwa sheria itatokea upinzani na sio kutoka kwenye serikali zaCCm.

CCM haina mvuto kwa wananchi hilo nadhani halina ugonvi ,unajua wananchi bado hawapo huru ndani ya nchi yao na ndio ikaona CCM wanafanya wanavyotaka na hili sio linafanywa kwa viongozi waupinzanihata wananchi huko mitaani bado hali ni tete kwa maana inakuwa rahisi kudhulumiwa ikiwa tu atakumbana na CCM katika mahitaji ya kila siku ,tunawaona watu wanapigwa zaidi kwa sasa ni upande wa Zanzibar ,polisi hawana habari na wao huwa siku zote ni wenye kulzifanyia uchunguzi habari hizo ,

Hivi viongozi wa CCM hawajawahi kutoa viashirio vya uchochezi ? Ni lini polisi waliwaita kwenye vituo na kuwahoji ?

Juhudi za Mh.Magufuli zitakuwa hazina faida kama kuna upande unagandamizwa ,sheria zinatumikia upande mmoja ,wananchi walio wengi wakichoka na uovu basi hakuna cha kuwasimamisha na ndipo tulipo hakuna cha kuwasimamisha katika kuhakikisha liwe liwalo CCM inaondoka maddarakani.
Tupe time frame, au tuendelee tusubiri tu.
 
Na ukanda wa ziwa ambao ndio ulikuwa ngome ya ukawa imerufi ccm hivyo ni draw match. Usiangalie huko tu.
Ukanda wa ziwa upi unaosema wewe? Nyamagana na Ilemela? Hujui tuu! Ni wazi ushindi ukikuwa wa mbinu chafu na kila mtu anajua. Kuna kesi ziko mahakamani hizo tuziache lakini ukizungumzia chama, ni kuwa kimeimarika zaidi ya awali.
Sio kuambiwa bali nimeliona hilo
 
Kama ushalala hospitalini na mgonjwa,wakati anakaribia kufa huwa anawapa watu matumaini sana kuwa anapona[anakuwa na nafuu ghafla].Baada ya hapo ndo anaondoka duniani[anakufa].Kwa mfano huu CCM inaye Magufuli kama Rais na anaonesha matumini ila ndo mwisho umefika. Let's wait for 2020 If ever the party will exist, she may as well die before.It's just
mkuu hata wasipotoka 2020 mi ntasubiri tu hawa jamaa cku ya anguko lao litakuwa anguko kuu yaan litackika hadi china na europe
 
Back
Top Bottom