CCM msiipoteze hii fursa tena

Kama hujui hata tozo unazolalamikia ni 'made in Jiwe' wala hata usingejipendekeza kwa mzimu!
NB: Ninachounga mkono ni kuanzishwa kwa mkoa wa Chato ili tudhibiti wahamiaji haramu kutoka nchi za wenye shari na sisi!
Unalazimisha Sana mambo .. yaani Ilimuradi tu uturudishe nyuma kwà Marehemu.

Mwache Mama afanye kazi zake kwà Uhuru.

Unataka kusema mama ana copy tu hata vitu visivyo na manufaa kwà wananchi?

Tafadhari bana. ..acha mzimu ukutese wewe na familia yako pengine na ukoo wako na kizazi chako

Sisi tunasonga mbele kwà kuangalia waliopo madarakani..
 
Pamoja na kazi za ujenzi wa miundombinu mingi zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano, bado kuna wana CCM, na watanzania wengi nje ya chama hicho, wanaoamini kuwa maovu yaliyofanywa na rais Magufuli yamezidi uzito mema aliyotamba kulifanyia taifa hili![emoji817][emoji736][emoji1545]
 
Ngoja tuone, walishapoteza kitambo sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…