sambeke
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 713
- 651
Hivi siku hizi watu wanajifunzia wapi kuandika??Ulitaka kusema "Hana" ?
Hivi siku hizi watu wanajifunzia wapi kuandika??Ulitaka kusema "Hana" ?
Mashine za Chato hizi
Hapana, alitakiwa aweke alama ya kuuliza ili isomeke "Yeye mwenyewe ana Mvuto?"Ulitaka kusema "Hana" ?
Kwa kweli wapewe tu huo u "Air Hostage" ha ha haaaa utaniuaaaa!Nakumbuka Mwakyembe alishauri washiriki wa miss Tz,wale top wapewe hilo shavu la "air hostage"
Turudi kwenye mada wacha kuhepa ukweli wa wanawake wenu handsome.
Kuna mmoja anakakitambi kawiziwizi hivi Ukweli napenda Sana Mdada awe na kakitambi

Hajawahi fika Schipol Int'l Airport kuwaona hao vikongwe wao huita nyanya wakiingia na kutoka....Umewahi panda KLM ukaona wahudumu wake?
Wasitimuliwe na wawachwe hivyo watafutiwe kazi nyengine angalau.