CCM Morogoro yaisambaratisha CHADEMA Ifakara

SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
May 13, 2018
439
742
Wenyeviti 50 wa vijiji, wenyeviti 17 wa vitongoji na wajumbe wao wa serikali za vijiji na vitongoji, wenyeviti 6 wa mitaa mji mdogo wa ifakara wamejivua nyadhifa zao na kujiunga na CCM, pamoja na wanachama 300 wakiongozwa na aliyekuwa Katibu wa mbunge wa Kilombero (Chadema) Lijualikali wamerudi na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi na kupokelewa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro Innocent Kalogeris katika viwanja vya Stand Ifakara.

Katika mkutano wa Mbunge Mhe Mama Getrude Luwakatare kuelezea kwa wananchi utekelezaji wa ilani ya CCM ya mwaka 2015-2020.

#Umojaniushindi2019
#MorogoroYaKijaniInawezekana #TuwePamoja
#TusikubaliKugawanyika
IMG-20190428-WA0018.jpeg
IMG-20190428-WA0016.jpeg
IMG-20190428-WA0017.jpeg
IMG-20190428-WA0014.jpeg
IMG-20190428-WA0015.jpeg
 
Hii sio habari. Huu upuuzi tumeuzoea. Namsikitikia mama Lwakatare anayechanganya siasa na dini.

kuna taarifa kuna idadi kubwa sana ya wa mama wamenunuliwa vitambulisho vya umachinga na Mama lwakataee vinavyotolewa na mamlaka ya mji mdogo.

Huyu mama tayari kashaanza kampeni kwa ajili ya kura za maoni ndani ya ccm, na kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2020. Maana haishi kutembelea jimbo la mh Lijualikali.
 
Kwani nyie mmekatazwa?
 
Haya peteni sana. Wakati ni wenu maana mmeshikilia mpini na wengine makali. Wao wamepigwa pini inafikia mahali wanazuiwa kufanya hata vikao vya ndani, ninyi mnapeta kwa uhuru wote tena uliopitiliza. Hongereni.
 
Twendeni tu polepole ukiwa na roho ya KUMCHUKIA adui yako bc UTAPAMBANA nae mpaka pale utakapoona umemshinda! Sasa lkn ukumbuke MAADUI hawaishi kwani jinsi unavyowamaliza ndivyo wanavyozaliwa! Ukishawamaliza maadui Wa nje USISAHAU kuna MAADUI Wa NDANI! Ni heri Wa nje kuliko kupambana na Wa ndani! Ndicho kilichowakuta huko mf Sudan! Kwani waliomiondoa c MAADUI wake Wa nje Bali ni Wa ndani ALIYOWAAMINI!
 
Back
Top Bottom