Wenyeviti 50 wa vijiji, wenyeviti 17 wa vitongoji na wajumbe wao wa serikali za vijiji na vitongoji, wenyeviti 6 wa mitaa mji mdogo wa ifakara wamejivua nyadhifa zao na kujiunga na CCM, pamoja na wanachama 300 wakiongozwa na aliyekuwa Katibu wa mbunge wa Kilombero (Chadema) Lijualikali wamerudi na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi na kupokelewa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro Innocent Kalogeris katika viwanja vya Stand Ifakara.
Katika mkutano wa Mbunge Mhe Mama Getrude Luwakatare kuelezea kwa wananchi utekelezaji wa ilani ya CCM ya mwaka 2015-2020.
#Umojaniushindi2019
#MorogoroYaKijaniInawezekana #TuwePamoja
#TusikubaliKugawanyika
View attachment 1083317View attachment 1083318View attachment 1083319View attachment 1083320View attachment 1083321