Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,139
- 24,561
IMF OYEEE.CCM OYEEEEEE
CAG OYEEEE
TAARIFA TOKA MIKOA INAYOLIMA KOROSHO NI KWAMBA MPAKA LEO HAWAJALIPWA WAMEDQNGNYWA
IMF OYEEE.CCM OYEEEEEE
wakulima wa korosho hawajalipwa mpaka leo.tembea kifua bereeee. kwa kupora mazao ya watu wanyongeeNje ya mada kamanda
Uko nchi hii hii?Kwani nyie mmekatazwa?
Hawa akina ino no walewale hawana mbinu za kileo wanajifurahisha na kumfurahisha jiweIMF OYEEE.
CAG OYEEEE
TAARIFA TOKA MIKOA INAYOLIMA KOROSHO NI KWAMBA MPAKA LEO HAWAJALIPWA WAMEDQNGNYWA
CCM OYEEEEEE
IMF OYEEE.
CAG OYEEEE
TAARIFA TOKA MIKOA INAYOLIMA KOROSHO NI KWAMBA MPAKA LEO HAWAJALIPWA WAMEDQNGNYWA
Afrika ni bara la giza Sasa mlimleta mfumo wa vyama vyingi ili wazungu wawape misaada?Hii sio habari. Huu upuuzi tumeuzoea. Namsikitikia mama Lwakatare anayechanganya siasa na dini.
kuna taarifa kuna idadi kubwa sana ya wa mama wamenunuliwa vitambulisho vya umachinga na Mama lwakataee vinavyotolewa na mamlaka ya mji mdogo.
Huyu mama tayari kashaanza kampeni kwa ajili ya kura za maoni ndani ya ccm, na kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2020. Maana haishi kutembelea jimbo la mh Lijualikali.
Nadhani ni sahihi zaidi ikiwa hivi "Who laughs last, laughs the best"Who laugh last laugh the best.
hio kama ni agenda yako nenda tu mwenyewe kawasomee.....wao walienda na mambo yaoMmewasomea rpoti ya CAG hao wananchi?
Kweli wewe jingalao! Unaweza kuuliza swali kama hili?Kwani nyie mmekatazwa?
Ndugu hapo uchumi unaingiaje, ila ni kuwa tuu nguvu ya chadema itapungua.