Ukilipwa Buku 7 Serikali inapata kodi kiasi gani?Kwani hiyoruzuku wanayopewa chadema ni kodi ya mbowe?? Mbowe mwenyewe kwanza halipi kodi..anakula tu jasho la wanyonge
Una hoja yoyote juu ya kilichozungumzwa? If yes how?Bora kuwa Nyumbu kuliko kuwa Hayawani....
Nilikuwa na kadi ya TANU Youth League unaijua????Ulilipia kodi sh ngapi?Una kadi ya TANU?
Screen shot basi...uliichukulia tawi gani vile?Nilikuwa na kadi ya TANU Youth League unaijua????
Inajichanganya kwa picha za rangi za cctv, kuacha silaha ndani ya gari na kusema "walitaka kulichoma gari wakashindwa"Unajichanganya sana allen..unaonekana mgeni wa siasa..habari za kulipwa una ushahidi nazo??
Then ccm inajichanganya kwa lipi sasa..hebu fafanua ili ujibiwe..
Kwanini unahisi haiwezekani?Inajichanganya kwa picha za rangi za cctv, kuacha silaha ndani ya gari na kusema "walitaka kulichoma gari wakashindwa"
Kashafika mkuuJingalao huwezi kumuona hapa[emoji23]
Nikiwa Ifunda Tech. those good days...Wakati huo vipanga tunasoma Government schools.....Screen shot basi...uliichukulia tawi gani vile?
Kwa nini haijawezekana?Kwanini unahisi haiwezekani?
Sasa ulitakiwa utulie uelezwe bila kuja na majibu yako kwanza..Kwa nini haijawezekana?
We ukishatumika kama karai taifa linapata faida gani na wewe??Ukilipwa Buku 7 Serikali inapata kodi kiasi gani?
Nasubiri unielezeSasa ulitakiwa utulie uelezwe bila kuja na majibu yako kwanza..
Kwa hiyo akili ya siasa uliyojipachika tayari hutaelewa..Nasubiri unieleze
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa hiyo akili ya siasa uliyojipachika tayari hutaelewa..
Wanachukia hilo karai lilotumika wanakuletea wewe uchomee muhogo uongeze kipato....We ukishatumika kama karai taifa linapata faida gani na wewe??