Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,837
- 50,541
We wasemaUnataka kumaanisha lile gari lililokuwa nembo ya mapinduzi ya viwanda Tanzania?
Kuna mambo mengine kuyatetea lazima ujifungie chooni..Aisee ndugu yangu mtoa mada mungu akubariki kwa hii thread yako.....najua huko waliko wanalia machozi
Andaa Nguo za kufua,omo ipo njianiKila siku mnatengeneza "movies" za kijinga na kufanya mambo ya hovyo sana kiasi kwamba mnawapa shida watetezi wenu wa mitandaoni. Kila jambo mnaboronga, mnadhani hao mliowaweka mitandaoni wawatetee nao ndiyo hawana hisia za utu kabisa?
Yaani mnadhani kusema uongo na kutetea ujinga unaoonekana shayiri dhahiri kwamba ni ujinga ni kazi rahisi? Mnadhani wao hawajui kwamba wanatetea mambo ya hovyo yanayodhuru taifa lao na vizazi vyao vijavyo?
Au mnadhani kwa kuwa "wanalipwa" basi watakuwa ni watumwa wa kusema yasiyowezekana na kuaminika kila siku? Hata kama wanatumia majina bandia lakini mjue na wao wanaujua ukweli hata kama wanaupindisha, siku ukweli ukizidi kina cha uwezo wao wa kuupindisha mjue watatapika hata yale msiyoyafikiria kwamba wanaweza kuyasema.
OLE WENU CCM!
Kweli kama matumizi ya ruzuku za chama zaidi ya mill 300 + laki tano tano za wabunge wakati ofisi ni kiosk cha mbowe..Kuna mambo mengine kuyatetea lazima ujifungie chooni..
Najichanganyaje?Unajichanganya sana allen...
Fafanua ulichoandikaNajichanganyaje?
Nyumbu unawafahamu tabia zao huna haja ya kuhoji sana!Unajichanganya sana allen..unaonekana mgeni wa siasa..habari za kulipwa una ushahidi nazo??
Then ccm inajichanganya kwa lipi sasa..hebu fafanua ili ujibiwe..
Siyo kazi yangu. Fasihi andishi hubeba tafsiri ya kila aisomae!!Fafanua ulichoandika
Kaisaidie chadema wanataka kuuwana huko ndugu kisa madarakaSiyo kazi yangu. Fasihi andishi hubeba tafsiri ya kila aisomae!!
Asilimia 99 ya ofisi za CCM zilijengwa enzi ya Chama kimoja kwa kodi zetu Watanzania pamoja na Viwanja cha mpira. Labda baadhi ya ofisi DodpmaKweli kama matumizi ya ruzuku za chama zaidi ya mill 300 + laki tano tano za wabunge wakati ofisi ni kiosk cha mbowe..
Masuala ya kutweza utu wa wabunge wa kike unaofanywa na mwenyekiti..
Bora kuwa Nyumbu kuliko kuwa Hayawani....Nyumbu unawafahamu tabia zao huna haja ya kuhoji sana!
Ha! Ha! Ha! Mlianza kumwita Lissu msaliti kisha mkamtwanga risasi!!Kaisaidie chadema wanataka kuuwana huko ndugu kisa madaraka
Kwani hiyoruzuku wanayopewa chadema ni kodi ya mbowe?? Mbowe mwenyewe kwanza halipi kodi..anakula tu jasho la wanyongeAsilimia 99 ya ofisi za CCM zilijengwa enzi ya Chama kimoja kwa kodi zetu Watanzania pamoja na Viwanja cha mpira. Labda baadhi ya ofisi Dodpma
Ulilipia kodi sh ngapi?Una kadi ya TANU?Asilimia 99 ya ofisi za CCM zilijengwa enzi ya Chama kimoja kwa kodi zetu Watanzania pamoja na Viwanja cha mpira. Labda baadhi ya ofisi Dodpma
Tena muongo na mnafiki yule jamaa sijapata ona..Ha! Ha! Ha! Mlianza kumwita Lissu msaliti kisha mkamtwanga risasi!!