CCM mnatudharau na kututumia vibaya

CCM mnatudharau na kututumia vibaya

Mwalimu wewe nakushangaa sana kama mtumishi wa umma uliyesahau majukumu yako ukaanza kujihusisha na siasa,mwalimu unayetukana chama tawala ambacho ndo kimeshikilia dola,kinachoiongoza serikali hii tokea tz kuzaliwa na kuwaandaa Walimu ambao nao wamekuaandaa na wewe ukawa mwalimu.Wengi wetu na wote tuna yaliyo mioyoni lakini isifike mahali tukakejeli,kuhusanisha vitu ambavyo haviendani,nafahamu kabisa mwalimu mkuu wako ndo anayekuchangisha wewe mwalimu wake(je mwalimu wako ni chama gani?je amewahi kukuonesha kadi yake ya uana chama?)afisa elimu ndo aliyemuagiza huyo mwalimu mkuu wako akusanye michango(je afisa elimu wako ni chama gani?/alishawahi kukuonesha kadi yake ya uanachama?/au alipowaita wakuu wa shule kuwaelezea michango hiyo alikuwa amevaa sare ya chama gani?/na kama alituma memo kwa kila mkuu wa shule je hiyo memo ilikuwa na muhuri wa chama gani?
NB:Matako kazi yake ipo sio kuchapwa na walimu...
Mkuu uko sawa kweli kichwani au umetoroka mirembe. Eti kimeshikilia dola toka Tanzania izaliwe.
Naalabuk.
 
Habar za leo ndugu wanabodi,
Nimeona ni vema tuhabarishane machache yanayoendelea huku nilipo (kwenye wilaya moja hapa jijini Mwanza)

IPO HIVI;kila mwaka huku kwetu kwenye wilaya fulani hapa jijini Mwanza (Wilaya ya Mwanzo kabla hujaingia Buhongwa) huwa tunachangishwa michango ya mwenge, mwaka 2017 na 2018 tulichanga kama utaratibu ulivyo miaka yote ambapo walimu wakuu walichangishwa Tsh 5,000/= kwa kila mmoja na walimu wa kawaida walichangishwa Tsh 2,000/=
Sikufuatilia watumishi wa kada nyingine kwa miaka hiyo japo najua na wao walichangishwa kwa lazima

MWAKA HUU UTARATIBU UKO HIVI;kila mwalimu mkuu anachangishwa Tsh 20,000/=
Kila mratibu elimu kata anachangishwa Tsh 50,000/=
Kila Afisa aliyepo halmashauri (kwenye ofisi za halmashaur kwenye upande wa elimu) anachangishwa Tsh 75,000/=
Kila mtendaji wa kijiji (veo) anachangishwa Tsh 100,000/=
Sijajua madiwani,wenyeviti wa vijiji na vitongoji wanachangishwa Shilingi ngapi

Ninyi chama cha mapinduzi kila siku huwa mnahubiri usawa (equality) majukwaani je,huo ndio usawa wenyewe?
Je,mwenge huwa hauandaliwi bajeti yake?
Kama fedha za kuukimbiza mwenge kwenye wilaya yetu huwa hazitengwi na serikali kwanini mnalazimisha kuuleta kwenye wilaya yetu ilhali serikali haijatoa fedha za kuukimbiza mwenge kwenye wilaya yetu?

Ninyi chama cha majambazi (ccm) kwanini mnatudharau sana Watanzania wenzenu?
Huu ni mwaka wa tano hamja tupandisha madaraja lakn mnataka sisi tuchangie bajeti ya mwenge tena kwa lazma siyo hiari
Kama mlivyoacha kunyonya matiti ya mama zenu basi tabia hii ya kutuchangisha kwaajili ya mwenge pia muiache mara moja

Vilevile,pamekuwepo na tabia ya kuwalazimisha walimu kusimama kandokando ya barabara pindi mwenge unapopita je,huwa hamuwaoni watumishi wa kada nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Buhongwa c wilayaa au unamaanisha Misungwi,any way kwel hili n tatizo kubwa cz sion haja ya kukimbiza huo mwenge kama wahusika wanashindwa kuugharamikia,n unyonyaji tu kwa ule mtu wa chini tuliembatiza jina la mnyonge
 
Akiki
Mwalimu wewe nakushangaa sana kama mtumishi wa umma uliyesahau majukumu yako ukaanza kujihusisha na siasa,mwalimu unayetukana chama tawala ambacho ndo kimeshikilia dola,kinachoiongoza serikali hii tokea tz kuzaliwa na kuwaandaa Walimu ambao nao wamekuaandaa na wewe ukawa mwalimu.Wengi wetu na wote tuna yaliyo mioyoni lakini isifike mahali tukakejeli,kuhusanisha vitu ambavyo haviendani,nafahamu kabisa mwalimu mkuu wako ndo anayekuchangisha wewe mwalimu wake(je mwalimu wako ni chama gani?je amewahi kukuonesha kadi yake ya uana chama?)afisa elimu ndo aliyemuagiza huyo mwalimu mkuu wako akusanye michango(je afisa elimu wako ni chama gani?/alishawahi kukuonesha kadi yake ya uanachama?/au alipowaita wakuu wa shule kuwaelezea michango hiyo alikuwa amevaa sare ya chama gani?/na kama alituma memo kwa kila mkuu wa shule je hiyo memo ilikuwa na muhuri wa chama gani?
NB:Matako kazi yake ipo sio kuchapwa na walimu...
Akili mgando hizi,ss unasema ssm ndo kimetawala miaka yote hyo kwa kukisifia huku unakinzana na hoja yako,hao wakuu wa shuke,afisa elimu unamaanisha wapo kweny utawala wa M7 wa uganda au PAKA wa Rwanda?tengeneza hoja ueleweke
 
Ww nawe ni walewale andiko reefu lakini ucwazwa mtupu!

Back
Top Bottom