Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,168
- 48,446
Kama mtu una shida na shida hiyo ikatafutiwa ufumbuzi, kuna haja gani kwa mtu mwingine kuja kukuambia kuwa shida yako imepatiwa ufumbuzi?
Kama Kijiji hakina maji maji yakipatikana wanakijiji watajua hakuna sababu za kuambiwa kuwa shida ya maji kijijini imekwisha.
Watanzania wanazijua shida zao, na pia wanajua matamanio yao na matarajio yao kwa wanasiasa, pia wanayajua.
Wanachotaka watanzania ni kuelezwa mbinu za kuyatatua matatizo yao ili wazipime kama zinafaa na kuaminika.