kabla ya utawala kuanguka, huanzaga kuchanganyikiwa.
sasa mainstream media zote hazitangazi mikutano ya chadema, wasanii wote kila mtu anaita MAMA, MAMA, MABANGO nchi nzima, kila nguo lazma iwe na picha ya mama.
sasa wana hofu gani na mpiga debe lissu? hana jeshi, hana silaha, hana hatari yoyote kwa taifa.. zaidi sana ni mwaka wa uchaguzi kila chama ruksa kufanya siasa zake. mna shida gani ccm na serikali yenu?
zile 4R zimekua 4 haraa.
kweli ccm bila dola ni wepesi kama T.P