CCM mnaposema kazi na utu mnamaanisha nini?

Acha umbumbumbu wako hapa wewe. Embu Fuatilia Hotuba za Mheshimiwa Rais wetu kipenzi akiwa Mkoa wa Songwe hususani katika Eneo la Mji Mdogo Wa Mlowo aliyoitoa siku ya Jana. Ameeleza kila kitu na maana halisi ya kauli hiyo. Maana mimi sitaki nikueleze kwa kuwa kila kitu kimeelezwa na Rais wetu.
 
Kwamba JPM alipiga kazi lakini hakuwa na UTU. Wahuni watu wabaya sana
 
Acha umbumbumbu wako hapa wewe. Embu Fuatilia Hotuba za Mheshimiwa Rais wetu kipenzi akiwa Mkoa wa Songwe hususani katika Eneo la Mji Mdogo Wa Mlowo aliyoitoa siku ya Jana. Ameeleza kila kitu na maana halisi ya kauli hiyo. Maana mimi sitaki nikueleze kwa kuwa kila kitu kimeelezwa na Rais wetu.
Huna tofauti na Malaya
 
Bora wewe umeuliza kuliko wengine wanaopiga kelele .

Kazi na utu ni kauli inayohamasisha KAZI zenye misingi ya utu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom