Kikwete alwialea sana, mikutano yenu ikawa ni matusi tu, mukajiona tayari mmeshika dola, sasa kibao kimegeuka kudaaadeki, munalialia kama wasichana.
Mkuu, Vyama vyote vinapaswa kuwa na haki sawa. Vyote vimesajiriwa kufanya shughuli za siasa. Tunajitahidi sana kuelimisha watu humu waache kushabikia mambo ya hovyo hovyo yasiyokuwa na msingi....