CCM: Mnaitia aibu Tanzania

CCM: Mnaitia aibu Tanzania

kwa staili hii nazidi kupoteza imani na wanasiasa.yaani wameona kipaumbele ni kuongeza majimbo kiliko changamoto zinazotukabili kama taifa...nimeamini ule msemo wa kale usemao mbwa anajifukuzia mwenyewe..

fanya maamuzi magumu kwa faida ya kizazi chako kijacho. Piga picha life unayoishi wewe sasa hivi ni iko hivi jee kizazi chako kijacho kitakuwa katika hali gani endapo mpango wa misha ni huu huu???
 
Serikali ya ccm haijawahi leta jambo lolote lenye manufaa kwa mtanzania hata mara moja, walikuja na ahadi za hospitali kila kata wameshindwa, wakaleta ahadi ya pensheni kwa wazee hakuna, matibabu bure kwa wazee na watoto hakuna,

mama wajawazito kupatiwa huduma bure hospitalini imeshindikana, maisha bora kwa kila mtanzania hakuna, lakini kwa manufaa ya kipumbavu ya kuumiza watanzania na maslahi yao viongozi wa Tanzania wako mbele sana kutekeleza na hili litapitishwa kabla ya october, hawa watu sijui wameonaje watanzania, eti mbunge wa mabwepande kweli hii inaingia akilini jamani? Yana mwisho haya hata kuli alijipa moyo.
 
hii yak uongeza majimbo me naona kama ni mchezo wa kiugiza tu.. Maana ccm wanadhani kuwa hayo wayoongeza ndio yatawaokoa maskiniccm kumbe ndio wanawaongezea wapinzani idadi yao itakuwa kubwa na watakuwa na nguvu kubwa mjengoni. Hii ccm inakula kwao kama hawajajitambua

mkuu hayo majimbo yaende upinzani ama ccm mzigo kwa wananchi hauondoki kamwe. ni kweli ccm ndo waanzilishi wa haya mambo. bado anayebeba mzigo ni mwanachi wa kawaida.
 
asilimia kubwa ya pesa ya Tanzania huwa inaishia kuwalipa viongozi wakati huo kuna watu wakufa na njaa
 
Nchi yetu inaangamia kwa wananchi kukosa maarifa.Kwa mambo maovu wayafanyayo viongozi wetu wasomi,wanaharakati wamekaa kimya,wanaolalamika hawachukui hatua,wanaochukua hatua wakihongwa kidogo wanalegea...Amini nawaambia,ipo siku wajukuu na vitukuu vyetu watafukua makaburi yetu ili wajiridhishe na ukubwa wa mbongo zetu!!
 
hii yak uongeza majimbo me naona kama ni mchezo wa kiugiza tu.. Maana ccm wanadhani kuwa hayo wayoongeza ndio yatawaokoa maskiniccm kumbe ndio wanawaongezea wapinzani idadi yao itakuwa kubwa na watakuwa na nguvu kubwa mjengoni. Hii ccm inakula kwao kama hawajajitambua

Tatizo wanadanganyana sana.Hasa JK naona anadanganywa kweli kweli sijui kwa sababu gani?Huku kwetu kuna mtu likataa kumpa lift mtu sababu alivaa Jezi za CCM kofia na T-shirt.Sielewi kama wanajua impact ya maovu yao kwenye TAIFA letu kwa sasa......Sina uhakika kwa kweli.
 
fanya maamuzi magumu kwa faida ya kizazi chako kijacho. Piga picha life unayoishi wewe sasa hivi ni iko hivi jee kizazi chako kijacho kitakuwa katika hali gani endapo mpango wa misha ni huu huu???

tukiwaacha hao wanasiasa wakawa huru. hatutapata kitu kamwe. wao huwaza maslai yao binafsi zaidi.
 
Tatizo wanadanganyana sana.Hasa JK naona anadanganywa kweli kweli sijui kwa sababu gani?Huku kwetu kuna mtu likataa kumpa lift mtu sababu alivaa Jezi za CCM kofia na T-shirt.Sielewi kama wanajua impact ya maovu yao kwenye TAIFA letu kwa sasa......Sina uhakika kwa kweli.

me nawachukia mgambo wao aka police wananisimamisha nasimama afu wananiambia naomba lift huwa nawajibu waende PPF TOWER kuna lift 4 za kumwaga alafu natoka nduki:msela:
 
Mwala you are not serious...........Ah!!!!!!!Umenifanya nicheke kwa SAUTI............Ninakoishi nje kidogo ya mji watu wa kawaida wamewapiga mkwara wake zao kuvaa na au kupokea Khanga,T-shirt,Vitambaa au Jezi tu......

Ni balaa tunakoenda sina uhakika kama watawala wanaelewa.........Huko vijini mpaka wanachama wa CCM wanasema wavipigia KURA vyama vya upinzani kwani wamechoka............Na wanaona hata aibu kuvaa JEZI zao........
 
Mtu na mmewe nyie wapuuzi wakubwa, mnadanganyana tu hapo, hahahaha endeleeni kuweweseka, mwaka huu hampati kitu tena kama kawaida, wembe ni ule ule
 
Tatizo wanadanganyana sana.Hasa JK naona anadanganywa kweli kweli sijui kwa sababu gani?Huku kwetu kuna mtu likataa kumpa lift mtu sababu alivaa Jezi za CCM kofia na T-shirt.Sielewi kama wanajua impact ya maovu yao kwenye TAIFA letu kwa sasa......Sina uhakika kwa kweli.
Muongo mkubwa wewe mchumia tumbo ushndwe na ulegee, huyo uliamua tu kutompa lift lkn sio kwa madai yako hayo ya kipuuzi.
 
Mwala you are not serious...........Ah!!!!!!!Umenifanya nicheke kwa SAUTI............Ninakoishi nje kidogo ya mji watu wa kawaida wamewapiga mkwara wake zao kuvaa na au kupokea Khanga,T-shirt,Vitambaa au Jezi tu......

Ni balaa tunakoenda sina uhakika kama watawala wanaelewa.........Huko vijini mpaka wanachama wa CCM wanasema wavipigia KURA vyama vya upinzani kwani wamechoka............Na wanaona hata aibu kuvaa JEZI zao........

ukiona mwananchi kavaa jezi ya kijani ujue hiyo ndio suti yake hana nyingine
ccm.jpg View attachment 255491
 
Ukiondoa under 18, watu wazima ni karibu milioni 24 tu ambao ndio wanajishughulisha ili walipe kodi.
 
Nchi yetu inaangamia kwa wananchi kukosa maarifa.Kwa mambo maovu wayafanyayo viongozi wetu wasomi,wanaharakati wamekaa kimya,wanaolalamika hawachukui hatua,wanaochukua hatua wakihongwa kidogo wanalegea...Amini nawaambia,ipo siku wajukuu na vitukuu vyetu watafukua makaburi yetu ili wajiridhishe na ukubwa wa mbongo zetu!!

Watafukua ili waangalie kama tulikuwa tuna physical features za binadamu au masokwe coz akili zetu sijui huwa zimeishia wapi
 
Back
Top Bottom