CCM: Mnaitia aibu Tanzania

CCM: Mnaitia aibu Tanzania

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Posts
16,952
Reaction score
10,510
Tanzania idadi ya watu haizidi milion 45 mpaka muda huu.. Na kwa idadi hii tuna Wabunge 360 mjengoni wanameza kodi zetu bila tabu.

Na wakati huo bado inaendelea kulipasua taifa kuongeza majimbo ambapo tutegemee idadi ya wawakilishi itaongezeka na kufikia 400 kwa jinsi hali inavyoonekana.

Nchi ya india ina idadi ya watu bilioni 1.4 na inawakilishwa na wabunge 400 tu.

Serikali ya ccm hii ni aibu kubwa kwa kinchi maskini hiki cha Tanzania.

Naomba wananchi tufanye maamuzi magumu au tutumie fursa iliyopo katika kipindi hiki kufutilia upuuzi huu unaotuongezea umasikini kila uchao usiokuwa na sababu yoyote kwa kushiriki kujiandikisha na kushiriki kwa kupiga kura kuizika hii chama mbofumbofu inayotuletea shiddda nchini kwetu.
cc: faizafoxy, mussa allan, ritz, laki si pesa
 
yaani wametumia kigezo gani cha kugawa majimbo mapya? je hao wabunge waliopo wamefanyakazi kwa ufanisi,?mbona wengi tumeshuhudia wkilala na kusinzia tu bungeni? wengine ni huendekeza porojo tu namipasho? hii tume inagawa majimbo kwa msingi upi? badala ya kuongeza visima,barabara za lami. serikali inaongeza nafasi za ulaji kwa wanasiasa. je gharama hizo atalipa nani?
 
Ingekuwa ni uwezo wangu wote wangeenda guantanamo tena wawe wanakula mlo mmoja kwa saa 24😈
 
Kuna vilaza walikuwa wanashangilia eti wameturahisishia tupate vitivyote upuzi mtupu, wewe ccm,ukawa nk kuwa na vit vingi mwanchi inakusaidia nn? unaongezewa mzigo halafu unashangilia
 
wewe umeonyesha uzalendo,mimi niko nyuma yako

wewe kijana acha uhuni uliofunzwa na mkuu wako wa kaya.. Unakaa nyuma ili iweje.. Unajifichaa au??... Kaa mbele yangu upokee mirejesho vizuri... ...mbafff wee!!
 
yaani wametumia kigezo gani cha kugawa majimbo mapya? Je hao wabunge waliopo wamefanyakazi kwa ufanisi,?mbona wengi tumeshuhudia wkilala na kusinzia tu bungeni? Wengine ni huendekeza porojo tu namipasho? Hii tume inagawa majimbo kwa msingi upi? Badala ya kuongeza visima,barabara za lami. Serikali inaongeza nafasi za ulaji kwa wanasiasa. Je gharama hizo atalipa nani?

siku zote za maisha yako wewe ndio mlipaji wa matumizi ya watawala
 
siku zote za maisha yako wewe ndio mlipaji wa matumizi ya watawala

ni kweli mkuu. wananchi ndo tunagharimia yote hayo. kwa nini serikali isipiganie zaidi kuongeza huduma nzuri za kijamii kwa wananchi? huenda hayo majimbo mapya wakaweka marafiki zao au jamaazao kugombea ili waendelea kutumbua kodi zetu masikini.nimeamini wanasiasa wengi ni maslai binafsi.
 
ni kweli mkuu. Wananchi ndo tunagharimia yote hayo. Kwa nini serikali isipiganie zaidi kuongeza huduma nzuri za kijamii kwa wananchi? Huenda hayo majimbo mapya wakaweka marafiki zao au jamaazao kugombea ili waendelea kutumbua kodi zetu masikini.nimeamini wanasiasa wengi ni maslai binafsi.

wewe hujui kitu.. Haya unayoona yanafanyika sasa sijui kuongeza majimbooo, kuleta bvr, kuchelewa hata kukumjua mapema mgombea wa ccm kama tulivyozoea hii ni dalili kuu ya kuelekea kuzimu hivyo tutasikia na kuona mengi ya ajabu mwaka huu ndg. Omba uzima tu ili ushuhudie kinachojiri ndani ya ccm na nchi kwa ujumla. Stay tune!!
 
Mwalla ukiona serikali imeshindwa hata kuhesabu watu wake (SENSA) sababu ya rushwa basi ujue hakuna kitu huko.

Hata hao mil45 naona ni pungufu yawezekana tuko hata mil48,zile karatasi za Sensa nyingine tulizikuta zinafungiwa maandazi mitaani kwa muda mfupi sana,nilijiuliza hivi recording ilikuwa kwa kasi ya kiasi gani?

Juzi mtendaji wa NEC akaja na nyingine kwamba zile estimates walizofanya zimezidi mara zaidi ya nne,maana wameshavuka lengo na bado ambao hawajaandikishwa wako zaidi ya lengo,sasa najiuliza hivi sensa ilifanyika kweli au kiini macho cha kugaiana pesa?

Ya kuongeza majimbo ni wasiwasi wa kukosa majimbo mwaka huu..........
 
Huwa sioni logic ya kuongeza wawakilishi kabisa. Yaani uwakilishi upimwe sawasawa na teacher-student ratio? Kwamba mwalimu mmoja akifundisha zaidi ya wanafunzi 45 ufanisi unapungua, na uwakilishi upo hivyo hivyo? Kwamba akiwakilisha zaidi ya watu laki mbili (mfano) ufanisi unashuka? Kuna data ku justify ishu hii? Siasa chafu zinaiua kabisa Tanzania na sisi tungali tunatazama!
 
NI AIBU TENA KUBWA MNOOO... KWA MTU AKISEMA SERIKALI INAYOENDESHWA NA CCM INAAKILI HUYO MTU ATAKUWA NI WA KUPIMWA UBONGO WAKE.. HAIINGII AKILINI HATA KIDOGO KWA NCHI KAMA AMERICA, INDIA NI MATAIFA MAKUBWA YENYE IDADI YA WATU MABILIONI AFU ZIWE NA WAWAKILISHI SI ZAIDI YA 400 MJENGONI MWAO. HALAFU SIE TUNAOFANYWA MBURULA NA SERIKALI MBURULA ETI TUPO MIL 45 IDADI YETU AFU WAWAKILISHI NI 360 KUELEKEA 400 KUTOKANA NA MAJIMBO MAPYA HIVII HIZI GHARAMA NI NANI ANAEZILIPIA KAMA SIO KUTUKAMUA SIE?? AGHRRRRRRRRRR...:becky::confused2: NADHANI WANANCHI TUNAPASWA TUTUMIE AKILI ZETU VIZURI MWAKA HUU BILA KUFATA USHABIKI WA KIPUUZI KUPENDA KITU HUKU KINAKUKAMUA NA UNAJIFANYA HUJIELEWI. TUBADILIKE TUFANYE MAAMUZI YA KWELI NA YALIYO MAGUMU ILI TUINUSURU INCHI HII KUTOKA KWENYE AIBU HII, KWELI CCM INATUTIA AIBU KUBWA MNOOOO,, SHAME!!
 
Yaani nilipokuwa nasoma kitabu cha KUSADIKIKA nilikuwa siamini km kuna kiongozi km yule na kuna nchi km ile duniani......TANGU AINGIE KIKWETE NDIPO NILIPOIONA NCHI HALISI YA KUSADIKIKA NA UONGOZI WA KUSADIKIA KM NILIOSOMA MIAKA 10 ILIYOPITA........
 
mwalla ukiona serikali imeshindwa hata kuhesabu watu wake (sensa) sababu ya rushwa basi ujue hakuna kitu huko.

Hata hao mil45 naona ni pungufu yawezekana tuko hata mil48,zile karatasi za sensa nyingine tulizikuta zinafungiwa maandazi mitaani kwa muda mfupi sana,nilijiuliza hivi recording ilikuwa kwa kasi ya kiasi gani?


Juzi mtendaji wa nec akaja na nyingine kwamba zile estimates walizofanya zimezidi mara zaidi ya nne,maana wameshavuka lengo na bado ambao hawajaandikishwa wako zaidi ya lengo,sasa najiuliza hivi sensa ilifanyika kweli au kiini macho cha kugaiana pesa?

Ya kuongeza majimbo ni wasiwasi wa kukosa majimbo mwaka huu..........

hii yak uongeza majimbo me naona kama ni mchezo wa kiugiza tu.. Maana ccm wanadhani kuwa hayo wayoongeza ndio yatawaokoa maskiniccm kumbe ndio wanawaongezea wapinzani idadi yao itakuwa kubwa na watakuwa na nguvu kubwa mjengoni. Hii ccm inakula kwao kama hawajajitambua
 
wewe hujui kitu.. Haya unayoona yanafanyika sasa sijui kuongeza majimbooo, kuleta bvr, kuchelewa hata kukumjua mapema mgombea wa ccm kama tulivyozoea hii ni dalili kuu ya kuelekea kuzimu hivyo tutasikia na kuona mengi ya ajabu mwaka huu ndg. Omba uzima tu ili ushuhudie kinachojiri ndani ya ccm na nchi kwa ujumla. Stay tune!!

kwa staili hii nazidi kupoteza imani na wanasiasa.yaani wameona kipaumbele ni kuongeza majimbo kiliko changamoto zinazotukabili kama taifa...nimeamini ule msemo wa kale usemao mbwa anajifukuzia mwenyewe..
 
Huwa sioni logic ya kuongeza wawakilishi kabisa. Yaani uwakilishi upimwe sawasawa na teacher-student ratio? Kwamba mwalimu mmoja akifundisha zaidi ya wanafunzi 45 ufanisi unapungua, na uwakilishi upo hivyo hivyo? Kwamba akiwakilisha zaidi ya watu laki mbili (mfano) ufanisi unashuka? Kuna data ku justify ishu hii? Siasa chafu zinaiua kabisa Tanzania na sisi tungali tunatazama!

hapo kilichopo ni ulaji hakuna cha zaidi. kwani ubunge kazi gani ni nzito pale? maana mbunge sio mtendaji bali ni muwakilishi wa wananchi. angekuwa anajenga barabara, na hata hospitali tungesema ana shughuli nzito. kazi za mbunge zinajulikana. ni nyepesi mno..
 
Back
Top Bottom