Kwani mkuu wewe kinachokutesa nikipi?Acha kudanganya wenzio, meneja wa uwanja wa mkapa alisema uwanja umefungwa kwa sababu wanategemea kupisha shughuli za kiserikali zitakazofanyika hapo na uwanja kwa ujumla uko vzr kila sehemu...
Kwahy tukuamini wewe au meneja wa uwanja?Acha kudanganya wenzio, meneja wa uwanja wa mkapa alisema uwanja umefungwa kwa sababu wanategemea kupisha shughuli za kiserikali zitakazofanyika hapo na uwanja kwa ujumla uko vzr kila sehemu...
Huko kwenye Simba na Yanga nakuunga mkono ila kwenye ukarabati siyo kwamba hela inatoka mfukoni kwangu tu Bali hata kwako...na siyo kwako tu mpaka kwa yule Bibi au babu aliyopo kule mwisho kabisa mwa Tanzania hii maana gharama ya UWANJA ule unahidumiwa kwa Kodi zetu mkuu.Kwani mkuu wewe kinachokutesa nikipi?
Kwani Kuna hela ya ukarabati watakutaka utoe kutoka mfukoni mwako?...
Hiyo bodi ya michezo inatumika na mabeberu kuhujumu taifa letuLeo hii bodi ya ligi nchini(TPBL)imetangaza kufungia UWANJA wa Benjamin Mkapa kwa muda USIOJULIKANA hadi hapo matengenezo yatakapo kamilika..hivyo mechi zote za msimu2020/21 zilizopangwa kuchezewa hapo zimehamishiwa UWANJA wa UHURU "Shamba la Bibi"...
Ht ulichonambia nmechanganya na za KwanguZakuambiwa changanya na zako mkuu...
CCM ni chukizo ilaaniweLeo hii bodi ya ligi nchini(TPBL)imetangaza kufungia UWANJA wa Benjamin Mkapa kwa muda USIOJULIKANA hadi hapo matengenezo yatakapo kamilika..hivyo mechi zote za msimu2020/21 zilizopangwa kuchezewa hapo zimehamishiwa UWANJA wa UHURU "Shamba la Bibi"...Aidha pia bodi imeufungia UWANJA wa JAMHURI JIJINI DODOMA kutumika kwa michezo yote ya Ligi kuu na ligi daraja la kwanza mpaka pale marekebisho yatakapo kamilika..hivyo timu zote zinatumia UWANJA huo zitatumia viwanja vya Morogoro na Iringa hii ikiwa na maana kwa timu za ligi kuu watatumia UWANJA wa Morogoro na zile zaligi daraja lakwanza zitakua kule mkoani Iringa
My take:
Viwanja hivi vimekuja kufungiwa ikiwa nikutokana na ubovu wa sehem ya kuchezea"pitch"...na ubovu umetokana na CCM kuvitumia viwanja hivi kuendesha campaign zao huku zikiambatana na "fiesta" Sasa mwanakulitafuta mwanakuliget!tunao umia nisisi wapenzi wa soka tusiokua na ushabiki na siasa tulionya Jambo hili mapema tu lakin tulipuuzwa humu zaidi tukapewa kebehi....!!
K/Koo Derby huenda ikapigwa Kwa Bibi(Uhuru) tujiandae kwa hilo au kupigwa calendar mbele yote yanawezekana!
Pitches za Uwanja wa michezo ni kwa ajili ya michezo aina husika sio vinginevyo; kwa viwanaja vya soka, pitches ni kwa ajili ya wachezaji 22 tu sasa unapopoleka watu elfu 1o kurukaruka kwenye uwanja wa watu 22 ni uharibifu na utovu wa maarifa.Kwanini Simba na yanga wasitengeneze viwanja vyao wakaepuka na manyanyaso?
Pitches za Uwanja wa michezo ni kwa ajili ya michezo aina husika sio vinginevyo; kwa viwanaja vya soka, pitches ni kwa ajili ya wachezaji 22 tu sasa unapopoleka watu elfu 1o kurukaruka kwenye uwanja wa watu 22 ni uharibifu na utovu wa maarifa.
Vv