CCM Mkoa wa Kigoma wanatumia gari za Jeshi la Polisi kubeba makada kwenda katika mapokezi ya Waziri Mkuu (Kassim Majaliwa)

impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,732
7,611
Jana nimeshuhudia Polisi wakitumia magari maarufu kama karandinga kubeba makada wa chama cha mapinduzi kwenda katika mkutano wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Jeshi la Polisi limejiingiza katika siasa ni fedheha kubwa hakuna wa kuliamini tena maana hapa limekuwa Jeshi la CCM sio la wa Tanzania.
Viongozi kemeeni hili si jambo jema kwa ustawi wa Taifa letu Jeshi la Polisi lisifanywe la chama cha siasa bali liwe kwa maslahi ya Tanzania.

Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Afrika
 
Weka picha ili tupate pa kuchangia kwa weledi na uwazi na ikibidi tumuite MASAUNI aje hapa.
 
Mimi ni mwana ccm, sipendi vyombo vya ulinzi kuhusishwa siasa za wazi. waalikwe vikao vya siri
 
Picha mhimu

Vya kusimliwa mwangalie vizuri msimliaji

Vya kuona ushahidi wa picha unahusika

Ukiambiwa usifanye habari maana inawezekana alie kwambia aliachwa na hill karandinga

Na inawezekana walikuwa waharifu wanaenda kituo cha polisi
 
Serikali inaongozwa na CCM. Kwa sasa Polisi na jeshi ni watoto wa ccm, hivyo watafanya watakayoamriwa na mzazi wao.

Ungeliweka picha ingesaidia, japo watasema nj photo shop
 
Jana nimeshuhudia Polisi wakitumia magari maarufu kama karandinga kubeba makada wa chama cha mapinduzi kwenda katika mkutano wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Jeshi la Polisi limejiingiza katika siasa ni fedheha kubwa hakuna wa kuliamini tena maana hapa limekuwa Jeshi la CCM sio la wa Tanzania.
Viongozi kemeeni hili si jambo jema kwa ustawi wa Taifa letu Jeshi la Polisi lisifanywe la chama cha siasa bali liwe kwa maslahi ya Tanzania.

Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Afrika
Tatizo letu ni katiba.
Sio ccm wala PT
 
Mbona wakazi hatujaiona
 
Weka picha ili tupate pa kuchangia kwa weledi na uwazi na ikibidi tumuite MASAUNI aje hapa.
Sikupiga picha ila habari hii ni Ukweli kwa sababu gari hizo zilikuwa zikisomba akinana mama kutoka kasulu na Buhigwe kuwaoeleka manyovu katika mkutano wa Waziri Mkuu binafsi nimeshuhudia .
 
Bila picha habari hainogi ni sawa na kufyatuana na mwanamke kwenye giza kubwa
Sikupiga picha ila habari hii ni Ukweli kwa sababu gari hizo zilikuwa zikisomba akinana mama kutoka kasulu na Buhigwe kuwaoeleka manyovu katika mkutano wa Waziri Mkuu binafsi nimeshuhudia .
 
Ccm haikubaliki hivyo hawana namna zaidi ya kufanya utatu mtakatifu na policcm,tumeccm uwtccm ili kuendelea kusurvive .
 
Mimi ni mwana ccm, sipendi vyombo vya ulinzi kuhusishwa siasa za wazi. waalikwe vikao vya siri
Kabisa haya ni makosa makubwa CCM kina hela magari haipaswi kutumia vyombo vya Serikali katika shughuli zake za kichama
 
Ccm haikubaliki hivyo hawana namna zaidi ya kufanya utatu mtakatifu na policcm,tumeccm uwtccm ili kuendelea kusurvive .
Si haki kutumia vyombo vya Serikali kwa maslahi ya chama hili linaonyesha ccm haina uwezo wa kushindana ki hoja
 
Back
Top Bottom