CCM "Mene Mene Tekeli na Peresi" ....?!

Mayalla kikwetu maana yake njaa, vipi mkuu tufukue hili kaburi. Je, wewe ulipata jibu ?
 
Hakika. .Mungu ni wetu sote. Andiko la mene mene tekel peres linaishi hata sasa.
 
Mene = measured

Mene = measured

Tekel = divided

Peres = Given to Persians

Hiyo Mene (measured) imejirudia mara mbili. Ndio kusema Mungu ni mtulivu sana kwa kazi zake. Alimpima Belshazzar mara ya kwanza, akajiuliza, nimekosea ama ni nini, mbona hatoshi? Akampima mara ya pili, jibu ikawa bado hatoshi, akamweka kwenye mzani wa haki, akapwaya...akaona isiwe tabu...akaugawanya utawala ule mara mbili akiwapa Medes and Persians mapema kabla usiku ule haujakucha.

Mene Mene Tekel Peres inaishi hata Leo. Vile anawapima watawala ndivyo anapima kila mwanadamu...

Hili la CCM kupita kwenye Mene Mene Tekel Peres halikwepeki.

Swali linalobakia ni ikiwa Peres ya CCM imeshafika ama bado, maana hiyo order should be observed. It's a norm in the Kingdom of Lord Almighty.

Nikutakie Noel njema mkuu Pascal Mayalla.
 
H
 
Swali hili bado liko valid!
P
Laiti ungejua ni nn tunaomba, tunamwambia amungu kwenye kiti chake Cha enzi ,aisee.anyway ngoja nikae kimya wakati SI tutakua tunamaliza 40, Gwajima atakua anamaliza 7 zake za maji tu, kule Kwa mtt wake watakua Bado Wana 2 weeks za kumaliza 50 zao , na kwingineko.....

Hapo utapata jibu la swali lako na bunge litakuwa lishavuinjwa next month nidhani..tulia tu..
Sshv ht unabii tu unatekwa SS acha tusubiri majibu ya mwilini maana ya rohoni tayari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…