Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,002
- 132,711
Unajiuliza ni nini maneno hayo? Sikiliza!!!
PodOmatic | Podcast - KLH News - MAHOJIANO YA DR. SLAA NA ITV YALIYOBADILISHA MWELEKEO!
Ccm tupilia mbali ufalme wake umehesabiwa na kukomeshwa.Mabadiliko ni sasa
Wanabodi,
Hili neno "Mene Mene Tekeli na Peresi", lililetwa humu jf kwa mara ya kwanza na mmoja wa Ma Great Thinkers wetu humu, Mkuu Mzee Mwanakijiji, kwenye uzi wake huu.
"Mene Mene Tekeli na Peresi"!
Hii ilikua ni 17th October 2006, mwaka mmoja tuu tangu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete aingie madarakani.
Leo ni miaka 9 baadaye, ukiwa umebakia mwezi mmoja tuu Dr. Kikwete amalize muda wake kwenye uongozi akiwa anajiandaa kuondoka madarakani na kuikabidhi nchi kwa atakayemfuatia, jee bado CCM ni "Mene Mene Tekeli na Peresi?!" au sasa mambo yamebadilika?.
Nawatakia Iddi Njema.
Pasco
With just one day to go, there is nothing new to say, yote yameishasemwa, sasa imebaki kukumbushana tuu, tulisema nini, nini kimefanyika, uchaguzi ndio keshokutwa Jumapili, nini kitafanyika siku hiyo, na baada ya hapo, tukutane tena wiki ijayo, au tupongezane, au tupeane pole!.
Nchi hii inaweza tuu kubadilishwa kwa watu wenye uthubutu wa kuchukua maamuzi magumu, na kusimama wahesabiwe!.
I'm very proud kuwa ni mmoja wa wapiga kura hiyo Jumapili.
Haya shime kwa wote waliojiandikisha, tujitokeze kwa wingi, tuitumie haki yetu ya kidemokrasia kujichagulia viongozi wetu,
We have to choose our leaders and love our choices and live with or without!.
and for sure kesho
[h=2]CCM Ni "Mene Mene Tekeli na Peresi!"[/h] Pasco