Thread ya kitoto kwa ajili ya watoto.
Thread ya kitoto kwa ajili ya watoto.
Kila mtanzania anyeishi tanzania na anayeishi kwa kipato chake halali hawezi kuiunga mkono ccm.
Ndugu zangu watanzania,hii nchi ni ya kwetu sote,vyombo vya mamlaka vimetokana na sisi,rais hawez kuwa rais bila kura zetu wananchi.
Mleta mada ameandika kwa hisi na yote aliyosema kila mwenye kuipenda nchi hii angeyatafakari na kuchukua hatua mifumo yote ya utawala ingebadilika na pengine matatizo tunayopata kwa sasa yangeisha,hima watanzania wenzangu tuamke na tuchukue hatua.
Thread ya kitoto kwa ajili ya watoto.
Thread ya kitoto kwa ajili ya watoto.
Leo nchi imewashinda kutawala wanakesha kutafuta visingizio.
Rais analalamika,
PM analalamika
Waziri analalamika
Raia analalamika.
Hatuwezi kuongozwa na jamii ya watu wasio na majibu ya madhila yetu, wao wapo wapo tu wala hawajui kwa nini wapo
Kwa kuweka sawa historia.shiiii! Taratibu! Rais pia anaogopa itifaki, no, itikafu! Sijuhi ndio laana gani hiyo?