Thread ya kitoto kwa ajili ya watoto.
Mji bila vichaa auwezi kuwa mji
Thread ya kitoto kwa ajili ya watoto.
na mtoto mmoja anaitwa sumu amechangia thread ya watoto wenzieThread ya kitoto kwa ajili ya watoto.
yaap na wengine wamelogwa wengine wanaharibika vichwa kwa sababu ya kulelewa kidhuluma.big up mkuuMji bila vichaa auwezi kuwa mji
- Kila mtu anafahamu wazi kwamba mchezo mnaoufanya mlishaupanga kitambo na sasa mmeanza kuutekeleza kwa awamu Kutumia dola ISIYOJITAMBUA kubambikiza kesi kwa viongozi wa upinzani hasa CHADEMA.
- Mnajua wazi kwamba hampo tena kwenye mioyo ya Watanzania na hivyo mmeamua kutumia nguvu kujithibitishia kuitawala nchi hata kama mkishindwa kupitia sanduku la kura kama ilivyowatukia 2010.
- Mmeshiindwa kudhibiti mfumuko wa bei kiasi kwamba mlipoamua kupandisha nauli za vyombo vya usafiri mkatafuta kigezo kwa kupandisha bei ya mafuta usiku usiku ili iendane na ongezeko la nauli, na inajulikana wazi kwamba mnawategemea wafanyabiashara wawabebe kugharimia 2015 baada ya mipango yenu ya kuiba kuanza kugundulika mianya kuzibwa kila kona.
- Mnaelewa fika kwamba upinzani una nafasi kubwa ya kuchukua hatamu za uongozi kuanzia 2015 na sasa mmeamua kutumia kampeni za udini kwa vitendo kuwagawanya Watanzania ili nchi isitawalike na muweze kuendelea kuwepo madarakani kwa kigezo cha vurugu za kidini.
- Viongozi wenu wa juu wameridhia uteswaji, udhalilishwaji na hata kunyofolewa uhai kwa yeyote ambaye anaonekana ni kikwazo kwa chama na hususani anayewaamsha raia kujitambua.
Hii ni hatari kwenu maana kama hatutawaswaga ninyi kwenye mahakama za uhalifu basi wajukuu zenu watasimama kwa niaba.
Hata enzi za Farao walipuuzia hivi hivi lakini mwishowe walipata stahiki yao