wajameni tuelewe CCM wako kwenye power na kuiba kura na ujanja ujanja wao ni rahisi kuliko upinzani, upinzani hawawezi kufanya lolote kwani dola linashikiliwa na CCM. Plan ya sasa CCM ni kumtoa JK kwenye aibu ya ndani na nje ya nchi kama hatashinda kwa kishindo alichosema wakati upinzani sasa umeanza kulala na kuridhika na majimbo 28+.
Watalalamika vipi wakati wanafahamu wameshindwa uchaguzi. Wamepigwa na kuanguka na kufa kama kifo cha mende, hivi sasa wanategemea wizi wapo kwenye geneza tunakwenda kuwazika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.