Elections 2010 CCM Mbona hailalamiki kuhusu kuchelewa matokeo?

hata mwizi wa usiku hawezi kulalamika uchelewaji wa kulala kwa mwenye nyumba
 
hata mwizi wa usiku hawezi kulalamika uchelewaji wa kulala kwa mwenye nyumba

Yaani CCM na madai yao ya uzoefu, kupendwa na wananchi, ukongwe lakini ni waoga kuliko kawaida!
 
Huu ni uchakachuaji wa matokeo ndiyo maana unaona hata JK yupo busy na kura zake
 
CCM is in ICU, we will go to court to claim for our rights i.e. votes. The easiest way to redeem Tanzania is through councils and parliament.
 
wajameni tuelewe CCM wako kwenye power na kuiba kura na ujanja ujanja wao ni rahisi kuliko upinzani, upinzani hawawezi kufanya lolote kwani dola linashikiliwa na CCM. Plan ya sasa CCM ni kumtoa JK kwenye aibu ya ndani na nje ya nchi kama hatashinda kwa kishindo alichosema wakati upinzani sasa umeanza kulala na kuridhika na majimbo 28+.
 
Watalalamika vipi wakati wanafahamu wameshindwa uchaguzi. Wamepigwa na kuanguka na kufa kama kifo cha mende, hivi sasa wanategemea wizi wapo kwenye geneza tunakwenda kuwazika.
 
Back
Top Bottom