CCM Mbeya mjini waijibu CHADEMA

Teh teh teh...Ina maana walioijaza Kirumba kiasi kile walisombwa kutokea mbali?
 
Niliwahi kisema kuwa kama CDM ni KWELI kabisa Madiwani, Wabunge, na viongozi wengine wananunuliwa.

Basi CDM si chama cha kuwapa nchi WATAUZA.

Wananunuliwa kwa pesa ya madafu, kuahidiwa cheo. Je wakipewe USD, wakiahidiwa mbunye za kizungu, na madaraka makubwa , maisha hifadhi na uraia huko ma mtoni!
Watauza kila kitu
Hapo hakuna wafia nchi
Wala Wazalendo
Mpaka sasa CDM haijaweza kujua nani ananunulika kati yao basi hata Top Leaders ni Weupe tu

Tusitishane na Magwanda au neno Kamanda, wala Msitutetemeshe
 
...pia tuambie mkutano wa Tulia hiyo jana ni wasanii gani walikuwepo, I bet lazima walikuwepo!.
 
Elius W Ndabila,

KAWAIDA YA CCM NI UONGO NA UNAFIKI HIVYO WANA MBEYA HATUWEZI KUCHAGUA WATU WA KARIBA HII. MFANO JUZI MLITUAHIDI MADEREVA BAJAJI POSHO YA 20000 NA MAFUTA 20000, KWA AJILI YA MSARFARA WENU. LAKINI TULIAMBULIA 10000 TU BILA MAFUTA. SASA TUNASEMAJE SISI WETU NI SUGU NINYI ENDELEENI KUJIDANGANYA. PIA UNAFANGANYA WATU UWANJA ULIJAA TOA USHAHIDI.
 
Mnabeba watu na kuwapa posho ili wajaze viwanja na kucheza sebene !!

Siri ilifichuka juzi kigamboni pia. Ikabidi mkutano wa saa 4 uanze saa 9 kutoa nafasi ya somba somba., hadi kufunga shule jirani.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu njoo hapa browmer tunywe chai baada ya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…