CCM mbali peekaboo wapi Taifa, Mwaka mmoja na nusu sasa bila ajira mpya kwa vijana....!!

TangataUnyakeWasu

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
1,268
1,587
Wakuu, hili suala la ajira mpya imekuwa kaa la moto. Kila kukicha watawala wanapeana vyeo vya kisiasa huku ajira za wataalam katika kada mbalimbali zikiwa zimepigwa stop na mkulu wa nji. Swali la msingi hapa ni Je, pesa ya budget ya ajira mpya katika mwaka wa fedha 2016/2017 zinapelekwa wapi endapo mwaka wa bajeti utakwisha pasipo Serikali Kutoa nafasi za ajira kwa vijana?
 
Nadhani hii itasadia watanzania zaidi kuujua ubaya wa CCM, baba Maguu tukandamize haswa ili 2020 tusifanye makosa tena
 
Back
Top Bottom