CCM: Majizi Msimchukulie poa Rais Samia

Majizi mnayoongelea CCM ni yapi zaidi ya hao walamba sukari aliowajaza serikalini na kwenye chama??

CCM msitufanye watanzania wote ni wajinga kama walivyo wanachama wenu wengi.
 
Nani katumbuliwa na mfumo au kawajibishwa na watu?

Maana mama Samia yeye mwenye kishatumbua wakurugenzi zaidi ya 6 hadi sasa
 
Mmh inategemea maana kwa kumbukumbu yangu Ila mipasho kwa ****** ilikua udhalilishai japo hajafikia level ya jiwe
 
wakurugenzi wangapi hawako kazini?
Hili swali si ulipaswa ww uwe na jibu? Maana umesema mfumo unawaondoa kitu ambacho sio kweli.
Yeye mwenye alipokua akienda Musoma, alisimama barabarani na kutumbua wakurugenzi
 
Hili swali si ulipaswa ww uwe na jibu? Maana umesema mfumo unawaondoa kitu ambacho sio kweli.
Yeye mwenye alipokua akienda Musoma, alisimama barabarani na kutumbua wakurugenzi
Unajua uchungu wa kufukuzwa kazi?
 
Wasimchukulie poa mara ngapi? Ameamua kuwakumbatia ngoja wamnyoshe tu
 
Hivi ccm mtatuambia nini nyie?
majizi mnafuga wenyewe! na mnayatetea wenyewe!
majizi sasa ni senior officers wenu ndani ya ccm, angalieni namna wanavyotupiga ktk mikataba ya hovyo ya manunuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…