CCM maji ya shingo Rukwa!

CCM maji ya shingo Rukwa!

Hapa Niko Karema ziwa Tanganyika chadema wamechukua Viti vyote wakisaidiana na padri Kasomo
 
Huweleweki hata ulicho andika..hii ndio hasara ya kwenda shule na Fagio,Dumu la maji, kuni na mirumba..[/QUO

Yote haya ni baada ya kuona mme wako Aishi maji ya shingo,kama wewe ulienda shule za bila vidumu unashindwaje kujua umuhimu wa Nkoswe hapo swanga kama chadema imepata mitaa mingi kuliko ccm, sababu ni nini

Sababu ni kanisa na mapadri wake sio nkoswe.bila kanisa na mapadri hata viti vichache cdm ilivyo vipata insinge pata.nkoswe hala sifa leo wala jana wala juzi kama huamini hili mtafute Joseph kitama atakuambia mengi machafu ya nkoswe..hayo ni matapishi ya ccm..na kwataarifa yako cdm yoto hakuna mtu wa kumuangusha Aesh..kama unajidanganya na udini wako mjinga ww umepotoka..Aesh kama vikao halali vya ccm wilaya,mkoa na taifa vitampitisha kuwa mgombea tena basi ujue hakuna khanisi yoyote wa cdm atakae thubutu kumshinda..mutabaki na ujinga wenu wa kuichukia ccm kwa kuwa rais na mbunge ni waislam tu..lakini wana rukwa wenye akili wakiristo na waislam wanajua ccm ya kikwete nini imewafanyia. Ww baki na ukhanisi wako wa kumchukia mtu kwa dini yake.sisi tumekaa na ccm na kimiti na mzindakaya kwa miaka yote bila kujali ukiristo wao.. na tulikuwa tunatoa ushirikiano wakila hali bila kujali tuna msaaidia kimiti mkiristo au mzinda kaya mkiristo tulikuwa tunafanya kwa ajili ya chama chetu na mkoa wetu. Ww leo una chukia ccm kwa kuwa Aesh anajina la kiislam khanisi ww..
 
hasira zote ni kwa sababu unataka AESHI aendelee na ubunge umesahau aliingia kwa kura za kujaliziwa na Pinda kama mapadri wananguvu unayosema basi ajihesabie kushindwa tu
 
sumbawanga noma hata mbeya usiisahau hasa wilaya ya momba kyela na mbozi hata mbsla
 
hasira zote ni kwa sababu unataka AESHI aendelee na ubunge umesahau aliingia kwa kura za kujaliziwa na Pinda kama mapadri wananguvu unayosema basi ajihesabie kushindwa tu

Haya ni maneno ya kikhanisi unayo andika...mapadri wananguvu kuliiko nkoswe sio ccm..mm sinaulazima wa Aesh kuwa mbunge ulazima wangu ni mwanachama mwenzangu wa ccm tu hata akiwa baba yako wakufikia muhim kwangu ni ccm tu.
 
Huweleweki hata ulicho andika..hii ndio hasara ya kwenda shule na Fagio,Dumu la maji, kuni na mirumba..
Ndo shule ulizopitia au ndo unasoma huko mkuu? Hongera endelea kufagia labda Mungu atakujalia maana umekuwa mgumu mno kuelewa mambo. Ni vema kujitambua ili tabia yako ibadilike.
 
Siwezi kubadili tabia yangu nikawa kama hao wanao hubiri siasa ktk majukwaa ya dini mm nafahamu mipaka ya kila kitu na najua kila jambo lina sehemu yake na muda wake. Ni vyeme haya unayo niambia mm ukawaambia mapadri wako wakabadilika na kujua dini ina sehemu zake na siasa zina sehemu zake..vinginevyo watakuwa wanapanda mbegu mbovu kwa waumini wao na kwa watanzania kwa ujumla..
 
Bila shaka hao mapadri wameupata wito wako na kama wana akili nzuri ya rohoni wataifanyia kazi. barikiwa tu na upate heri 2015.
 
Sababu ni kanisa na mapadri wake sio nkoswe.bila kanisa na mapadri hata viti vichache cdm ilivyo vipata insinge pata.nkoswe hala sifa leo wala jana wala juzi kama huamini hili mtafute Joseph kitama atakuambia mengi machafu ya nkoswe..hayo ni matapishi ya ccm..na kwataarifa yako cdm yoto hakuna mtu wa kumuangusha Aesh..kama unajidanganya na udini wako mjinga ww umepotoka..Aesh kama vikao halali vya ccm wilaya,mkoa na taifa vitampitisha kuwa mgombea tena basi ujue hakuna khanisi yoyote wa cdm atakae thubutu kumshinda..mutabaki na ujinga wenu wa kuichukia ccm kwa kuwa rais na mbunge ni waislam tu..lakini wana rukwa wenye akili wakiristo na waislam wanajua ccm ya kikwete nini imewafanyia. Ww baki na ukhanisi wako wa kumchukia mtu kwa dini yake.sisi tumekaa na ccm na kimiti na mzindakaya kwa miaka yote bila kujali ukiristo wao.. na tulikuwa tunatoa ushirikiano wakila hali bila kujali tuna msaaidia kimiti mkiristo au mzinda kaya mkiristo tulikuwa tunafanya kwa ajili ya chama chetu na mkoa wetu. Ww leo una chukia ccm kwa kuwa Aesh anajina la kiislam khanisi ww..

Jibu kwa hoja kidogo utaonekana hata shule za msingi umefika,
Labda unisaidie ninani amesema kuwa Aish hatakiwi sumbawanga kwa sababu ya dini yake.
pili hivyo viti vichache Chadema ilivyopata ni vingapi ukilinganisha na vingi vya ccm.
 
Hoja gani unayotaka ww niandike humu mpaka uone kama ni hoja? Soma post zangu vizuri na ufuatilie siasa za jimbo la sumbawanga ndio utajua hoja zangu.
 
Haya ni maneno ya kikhanisi unayo andika...mapadri wananguvu kuliiko nkoswe sio ccm..mm sinaulazima wa Aesh kuwa mbunge ulazima wangu ni mwanachama mwenzangu wa ccm tu hata akiwa baba yako wakufikia muhim kwangu ni ccm tu.[

wewe sio mwanachama wa ccm hatuna takataka kama wewe unaendekeza udini kila sehemu ccm inapokataliwa,unataka kusema kila sehemu ccm ilipokataliwa nchi hii sababu ni mapadre punguza ujuha uyo Aishi kama bado unamtetea na una ona anafaa subiri mwezi wa kumi wananchi waamue nani anafaa kuwaongoza sumbawanga
 
Back
Top Bottom