CCM maji ya shingo Rukwa!

CCM maji ya shingo Rukwa!

Kama chadema imeshinda ukweli huo haupingiki kamwe,na kama ccm imeshindwa vilevile ukweli huo haupingiki,Watu weusi hupenda uongo ndio maana hatupati maendeleo,ukuzungumzia Familia ya captain Nkoswe inakusaidia nn.Tatizo mtu akisha kuwa ccm na uwezo wa kufikiri unaisha sijui ni kwa nn?unaweza kuchukua kikombe ukamwambia mwana CCM hii ni bakuli au pipa akakubali,vihiyo,mambumbumbu,makanjanja wamejaa CCM.Kijana yeyote ambaye Yuko ccm ni sawa tu na mpumbavu anayekimbia shule asijue madhara yake.nawapongeza saaaaaaaaaaaaaana wana Rukwa,Rukwa lzm iruke juu Aluta continue octoba 2015.Ukomboz ni LAZIMA tumeteseka kiasi cha kutosha.CCM ndembendembe mlalo wa chali.
 
wao wananenepa sisi tunakonda pesa zetu waziita visenti
 
Peas zenu na nani wakati ni jasho lake, tafuta zako acha wivu wa kike
 
Unapongeza mtu mjinga mtu asie na shukrani mtu asie jua maadili zaidi mtu anae wagawa wana rukwa kwa udini na ukabila..huyo mtu anae itwa nkoswe ni mtu hatari sana kwa mustakabali wa watu wa rukwa. Nimtu anae taka lake liwe hata kama damu itamwagika....
Kama munadhani huyu mtu ataisaidia cdm ktk rukwa basi mujuwe mumepotea huyu ni mtu asie kubalika hata na familia yake. .uzuri hata muumba wetu anamjua huyu mtu ndio maana hata riziki kampunguzia.. huyu anaishi kwa kutegemea mjungu na unafik tu..ezi zake alipo kuwa madarakani huyu alinyanyasa sana watu wa rukwa..leo hii anatapatapa tu..
Jamaa yako kapigwa chini au? Maana unatoka povu mkuu, sipati picha ubunge ukija mtu atajipima kamba ya shingo kwenye mti, dah!
 
Huweleweki hata ulicho andika..hii ndio hasara ya kwenda shule na Fagio,Dumu la maji, kuni na mirumba..
 
Huweleweki hata ulicho andika..hii ndio hasara ya kwenda shule na Fagio,Dumu la maji, kuni na mirumba..[/QUO

Yote haya ni baada ya kuona mme wako Aishi maji ya shingo,kama wewe ulienda shule za bila vidumu unashindwaje kujua umuhimu wa Nkoswe hapo swanga kama chadema imepata mitaa mingi kuliko ccm, sababu ni nini
 
* Hongera Mzee Nkoswe - Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa * Hongera Ikuwo - Mwanaharakati wa CHADEMA Matunda ya mapambano yenu dhidi ya udhalimu wa CCM mkoa wa Rukwa tumeyaona! Hongera wananchi wa Sumbawanga mjini kwa kuipiga chini CCM! Pia pongezi za pekee ziwafikie wananchi wa Mwambao wa ziwa Tanganyika kwa kuifuta kabisa CCM! Bye bye CCM!!!
Rukwa mbion kusambaratika sbbu ya udini unaoenezwa na cdm, ni HATARI!!!
 
Unapongeza mtu mjinga mtu asie na shukrani mtu asie jua maadili zaidi mtu anae wagawa wana rukwa kwa udini na ukabila..huyo mtu anae itwa nkoswe ni mtu hatari sana kwa mustakabali wa watu wa rukwa. Nimtu anae taka lake liwe hata kama damu itamwagika....
Kama munadhani huyu mtu ataisaidia cdm ktk rukwa basi mujuwe mumepotea huyu ni mtu asie kubalika hata na familia yake. .uzuri hata muumba wetu anamjua huyu mtu ndio maana hata riziki kampunguzia.. huyu anaishi kwa kutegemea mjungu na unafik tu..ezi zake alipo kuwa madarakani huyu alinyanyasa sana watu wa rukwa..leo hii anatapatapa tu..

Kama hakubariki ameshindaje mitaa mingi kuliko ccm
 
Huna takwimu ww tafuta takwimu ndio ujonasibu mbele za watu...ameshinda mitaa mingapi ktk mitaa mingapi nipe takwimu jimbo la sumbawanga ccm amepata mitaa mingapi na cdm mingapi..usijidanganye na kudanganya watu..
 
Acha kudanganya wewe

Hadanganyi huo ndio uhalisia kanisa limejipambanua kupitia mapadri wake kupiga vita ccm na kuisaidia chadema..hili wala halifanywi kwa kificho hata chizi analijua mapadri wanatumia nafasi zao kwa kondoo wa bw kuwaamrisha waikatae ccm kwa kila hali..
Ninacho sikitika ni kwa nini vyonbo vya usalama wanaliachia jambo hili baya kuzidi kutendeka ktk chaguzi.
 
Mkanisa yepi familia takatifu, kristu mfalme, malangali, katandala, cathedral au wapi?
Na ni mapadri gani wataje majina
 
Kama hakubariki ameshindaje mitaa mingi kuliko ccm

Hakubaliki hata kidog wala huwezi kumsifia nkoswe kwa hivyo viti walivyo pata cdm ukaacha kuwasifia mapadri walio hangaika na kufanya kampeini chafu makanisani na ktk mikusanyiko ya kidini na kuwataka waumuni nao waikatae ccm na kuichagua cdm..sifa zote na asante ziwaendee mapadri wa sumbawanga kwa viti walivyo shinda cdm..ccm wana vuna walicho panda..siamini nikwanini serikali ya ccm inawafumbia macho mapadri wanao tumia majukwaa ya dini kwa kuhubiri siasa chafu?
 
Mkuu tuambie mapadri wamefanikisha cdm kushonda viti vingapi
 
Back
Top Bottom