CCM maji ya shingo Rukwa!

Kinana na Nape you are riding a died horse killed by Tezi Dume, pouching and escrow account.:deadhorse:
 

Naom a takwimu kwa ufupi tulishinda wapi viti vingapi vywa mitaa vijiji vitongoji na ujumbe. Na kule tulipo sbindwa ni kwa kura ngapi?
 
Naom a takwimu kwa ufupi tulishinda wapi viti vingapi vywa mitaa vijiji vitongoji na ujumbe. Na kule tulipo sbindwa ni kwa kura ngapi?

sumbawanga ni moja ya maeneo ambayo chadema imefanya vizuri
 
Hata kule Nkasi kwa Kesy?! Nakumbuka huyu alikuwa CDM akakimbilia ccm, sijui alifuata nini huko!
 
Nimekuta watu wanaimba na mimi nimeona niimbe-Halle-luuujah!-Hossaaaaaaaaaaaaaaaaaaana! ila sielewi kinachoshangiliwa
 
Mkuu ileje masahihisho kidogo anaitwa Nkoswe na si ngoswe, ni afisa ngazi za juu za JWTZ Mstaafu
 

Unapongeza mtu mjinga mtu asie na shukrani mtu asie jua maadili zaidi mtu anae wagawa wana rukwa kwa udini na ukabila..huyo mtu anae itwa nkoswe ni mtu hatari sana kwa mustakabali wa watu wa rukwa. Nimtu anae taka lake liwe hata kama damu itamwagika....
Kama munadhani huyu mtu ataisaidia cdm ktk rukwa basi mujuwe mumepotea huyu ni mtu asie kubalika hata na familia yake. .uzuri hata muumba wetu anamjua huyu mtu ndio maana hata riziki kampunguzia.. huyu anaishi kwa kutegemea mjungu na unafik tu..ezi zake alipo kuwa madarakani huyu alinyanyasa sana watu wa rukwa..leo hii anatapatapa tu..
 

Hongera sana Rukwa
 
Hawana hati miliki hawa kwanini wasipumzike?Mmefanya vema watu wa Rukwa
 

Kafie mbali! Wananchi ndiyo waamuzi!
 
Nimekuta watu wanaimba na mimi nimeona niimbe-Halle-luuujah!-Hossaaaaaaaaaaaaaaaaaaana! ila sielewi kinachoshangiliwa

Mkuu,

Ushindi wa Chadema Rukwa! Shangilia ukijua hilo na ukijiandaa kwa October 2015
 

Nasikia manispaa ya sumbawanga inaongozwa na chadema,chadema ilipata mitaa mingi kwenye uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa kuliko magamba
 
Saaafi sana watu wa Rukwa twende pamoja hadi kieleweke
 
Kafie mbali! Wananchi ndiyo waamuzi!

Kama unajua kama wananchi ndio waamuzi basi ndio ujue nkoswe wako ndio kisha kufa hana alipo kwenda kuwanadi wagombea cdm akashinda rudia uchaguzi wa diwani kasanga alivyo garagizwa nkoswe wako..hana kitu huyo mzee wako kafilisika kila kitu kuanzia afya hadi kipato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…