CCM maji ya shingo Rukwa!

CCM maji ya shingo Rukwa!

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
11,824
Reaction score
18,085
* Hongera Mzee Nkoswe - Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa
* Hongera Ikuwo - Mwanaharakati wa CHADEMA

Matunda ya mapambano yenu dhidi ya udhalimu wa CCM mkoa wa Rukwa tumeyaona!

Hongera wananchi wa Sumbawanga mjini kwa kuipiga chini CCM!

Pia pongezi za pekee ziwafikie wananchi wa Mwambao wa ziwa Tanganyika kwa kuifuta kabisa CCM!

Bye bye CCM!!!
 
* Hongera Mzee Ngoswe - Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa

Viporo vinaharibu akili sana.
 
hii nadhani haijakaa sawa, sioni objective hapa tafadhali fafanua zaidi
 
Dadavua zaidi Mkuu.......hii Hali ndio inafanya wezi wamejichimbia huko Zanzibar wanapanga jinsi ya kujikwamua na hii Hali.
 
dawa ya AISH HIRARY NA MALOCHA inachemka hawa jamaaa!!! bungeni wanasinzia tu!!kibaya zaidi wamewasaliti wananchi kwa kuikataa rasimu ya warioba!!!
 
kila aliyekubali rasimu ya chenge amekwisha .
 
* Hongera Mzee Ngoswe - Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa
* Hongera Ikuwo - Mwanaharakati wa CHADEMA

Matunda ya mapambano yenu dhidi ya udhalimu wa CCM mkoa wa Rukwa tumeyaona!

Hongera wananchi wa Sumbawanga mjini kwa kuipiga chini CCM!

Pia pongezi za pekee ziwafikie wananchi wa Mwambao wa ziwa Tanganyika kwa kuifuta kabisa CCM!

Bye bye CCM!!!

Kazi nzuri sana hiyo delete futa kabisa ccm tutaelewana tuu
 
* Hongera Mzee Ngoswe - Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa
* Hongera Ikuwo - Mwanaharakati wa CHADEMA

Matunda ya mapambano yenu dhidi ya udhalimu wa CCM mkoa wa Rukwa tumeyaona!

Hongera wananchi wa Sumbawanga mjini kwa kuipiga chini CCM!

Pia pongezi za pekee ziwafikie wananchi wa Mwambao wa ziwa Tanganyika kwa kuifuta kabisa CCM!

Bye bye CCM!!!
Ileje, umepagawa mpaka umeishia kupongeza tu badala ya kutueleza unawapongeza kwa mambo gani waliyofanya.Hebu tueleze ndugu yangu tujue yaliyotokea huko rukwa na mwambao wa ziwa tanganyika mpaka ccm wakatumbukia na maji kuwafika shingoni!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom