CCM Magamba, JK na serikali wapigwa ganzi kali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Magamba, JK na serikali wapigwa ganzi kali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malunde-Malundi, May 20, 2011.

 1. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni wazo tu, kutokana na hali halisi. kiongozi na dr aliyewapiga ganzi ni dr slaa. 2007 aakataja mafisadi 11, dr hakuangalia sura hadi rais ndani, bungeni moto aliendelea kuwawashia, wakadhania watu hawaoni, ulingoni kaingia wakamdharau na kumpuuza, hali ilipozidi kuwa mbaya ikabidi wachakachue matokeo. Kwa unyenyekevu kawaacha wakadhani kazi imeisha, kumbe dr kwa yeye ndio kumekucha, kasema mwenyewe akiwa njje ya mfumo atafanya kazi kubwa kuliko, hakika tumeona cha moto wanakiona, sio siri mwitikio wa maandamano yanatisha sio kidogo, waliojivua gamba ghafla wamepotea wanaogopa kuonekana wanabweka wamejificha, hakika ccm, jk na serikali imepigwa ganzi kali, siku mmoja MmJ alishawahi kusema ganzi ya nusu kaputi mbaya, hawana namna, hadi misiba inasubiria chama tawala kufanya uchunguzi yaani chadema. Nape, mukama sote tumeona hata katika strong holdi yao sasa chali, ccm magamba wanakosa mapokezi hadi singida kwa dewji. Mwisho niseme chadema kinatawa, ccm ni wapinzani, kurudi kwa zitto ndio sasa kunanipa 75% ya ushindi wa chadema muda wowote uchaguzi ukiitishwa, tila protocol inabidi tuseme vinginevyo. Jamani mopaka nafurahia siasa ilivyo tamu sasa chama tawala ni wapinzani. Peoples power 2015 hayupo wa kuisimamisha nci inaenda, in dr slaa i trust inchi imeshaendas. Mungu ibariki tanzania bara (tanganyika), zanzibar na tanzania in dr slaa and chadema we trust
   
 2. t

  tumpale JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 201
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  bila ya shaka chadema ndo chama tawala, angalia tarime maagizo yanayotolewa na chadema ndo yanatekelezwa hata na serikali yenyewe. sasa wanasheria wa chadema ndeio wamekwenda kufuatilia matatizo ya wananchi wao. viva chadema viva
   
 3. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umenena vizuri mkuu ila hapo kwenye red kwani alishawahi kutoka? Huyo ni mpiganaji hawezi kwenda kwenye magamba!!
   
 4. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli, alitaka kusahau muda fula pia nafikiri hakudhani ni kiasi gani sasa watu wanaikubali. Tunashukuru sana kurudi kwake kundini kwa a silimia mia zote
   
 5. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  peoplessssssssssssssssssssssssssssss,.......................
   
Loading...