CCM Lowassa tukutane hapa

CCM Lowassa tukutane hapa

Nawaomba wanaccm wezangu tunaemuunga mkono Lowasa kuwa hakuna kura yake itakayoibiwa pia ule mpango wetu wa kuhakikisha anapata kura za kutosha toka kwa wana ccm unaendelea
Naona umeamua kujibu mwana kijani mwenzenu anaye jiita chadema halisi.
 
Hapa mtaani kwangu balozi wangu anatoa usghirikiano mzuri yale maazimio yote ameyatekeleza...
 
Hapa kawe sisi vijana tuko vzuri tunapita kila kata kuhakikisha Mzee anapita na zoezi linafanyika kwa ueledi wa hali ya juu ila ubunge tunampa ccm mwenzetu Warioba
 
Mimi nitarudi ccm mwakani lowasa akishapita.mwaka huu wanisamehe ninamuunga mkono Lowasa.toka dodoma kwenye vikao ndo msimamo wangu hata mwigulu anajua.
 
Iringa tuko more than ready na baada ya kumkamata Msigwa ndo wananchi hasira zimepanda..
 
Nawaomba wana ccm wezangu tunaemuunga mkono Lowasa kuwa hakuna kura yake itakayoibwa. Pia ule mpango wetu wa kuhakikisha anapata kura za kutosha toka kwa wana ccm unaendelea

Utampigia mwenyewe, wenye akili timamu tunampigia Dr.Makuri
 
Namshukuru emmanuel na lugola kwa kazi ya kijasusi yaan ccm lazima ife mwaka huu weee chezea kingunge nyie akina Nape sasa kazi mnayo mwaka huu
 
Hapa kawe sisi vijana tuko vzuri tunapita kila kata kuhakikisha Mzee anapita na zoezi linafanyika kwa ueledi wa hali ya juu ila ubunge tunampa ccm mwenzetu Warioba

Mkuu usifanye ivo tumalize Halma mdee mm mwenyew nipo jimbo la kawe
 
Utampigia mwenyewe, wenye akili timamu tunampigia Dr.Makuri
Hapa mtaani petu wamevaa kijani na njano na wanamegewa posho lakini ukiongea nao pembeni wanasema kura zote Lowassa!
 
Ccm na cdm kila siku mnatangaziana ushindi.viongozi wa cdm na ccm wangenyanganywa pasport ili baada ya matokeo wote tushughulikiane hapa Hapa wasiwepo wa kutoa matamko na kukimbia.toa tamko uwepo sio utuachue msala
 
Nimekuwa mwana ccm ktk chaguz zote but mwaka huu acha iwe mbaya, nampa EL..Hii ni kutokana na ulevi wa kiutawala /madaraka ndani ya chama wa2 wachache kujiona wao ni wao ndani ya chama., kiasi cha kupoka demokrasia ndani na nje ya chama , isitoshe kutupilia mbali katba ya wananchi iliyolenga kurejesha maamz ya taifa Kwa umma na si Kwa m2 au wa2 wachache ..
Bila kujali itikad za kivyama , watz Kwa mapenz mema ya taifa le2 ,tuungane kuing'oa ccm iliyokataa katba inayobeba dhana nzima ya mabadriko tuyatakayo.
 
niko ccm ila kura yangu ntampa lowasa tu chama kishakuwa cha watu wachache. Kama tumechagua kiongozi wetu wa ubunge kwenye kura za maoni katolewa na kuwekwa mwingine si network inatengenezwa. I will be inside ccm ili kuwakomesha tu kila kitu tutaweka wazi. #CCM<<<<<<<CDM
 
Back
Top Bottom