figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,032
- 64,143
Hizo picha zihifadhi kwenye card iwe kumbukumbu zako coz haitakaa itokee tena. mia
Baada ya kufanya Kampeni za ndani toka Tar 17 sasa leo tunakuja hadharani kumnadi mgombea wetu wa Udiwani katika Kata ya Iyela ndani ya Jiji la Mbeya.
Wana Iyela wapo tayari kumpokea na kumsikiliza Diwani wao Ndg. Richard Shanghvi kupitia CCM.
Hakika hiyo tar 16-06-2013 watani zetu mtalala mapema sana na kujutia matusi mnayoyatoa jukwaani!
#Nani kama CCM?????.. Jibu unalo!
Iyela walimchagua MAREHEMU NKWENZURU sababu ya kujal watu na sio CCM, kwani hata mzee angekua SAU angeshinda. Lkn saiz IYELA niya CHADEMA TU, hata CCM MPIKE WALI,KIMPUMU,KYINDI na mc MWAKIPESILE na SHITAMBALA waongee ucku na mchana wanapoteza mda. CDM TULIANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU
Baada ya kufanya Kampeni za ndani toka Tar 17 sasa leo tunakuja hadharani kumnadi mgombea wetu wa Udiwani katika Kata ya Iyela ndani ya Jiji la Mbeya.
Wana Iyela wapo tayari kumpokea na kumsikiliza Diwani wao Ndg. Richard Shanghvi kupitia CCM.
Hakika hiyo tar 16-06-2013 watani zetu mtalala mapema sana na kujutia matusi mnayoyatoa jukwaani!
#Nani kama CCM?????.. Jibu unalo!
Njoo na wewe ule kama umeuona na propaganda zenu na mnatakiwa kujifunza CCM tukifanya Mkutano nyie mmbakie nyumbani.
Oneni mlivyopata aibu na Kamkutano kenu!