CCM lazima itakufa uchaguzi 20015

CCM lazima itakufa uchaguzi 20015

Makubwa! wewe mkuu unauwezo wa kutabir hadi mwaka 20015,mbali sana aise nahis wewe ni mganga wakienyeji unaetumika kisiasa! Shame on you.
 
Sipati picha kumuona LOWASA AND CO Kuanza kufanya M4C ili kusaka wanachama wa kufufua ccm , sijui rangi ya nywele itakuwa bado nyeupe kweli ?
 
Back
Top Bottom