CCM kwishineyi hata kinyota imezidiwa na CDM!!!!!

JUMLA IKIWA 1
Hii ni namba yenye nguvu sana na ni namba ya kiume, ambayo inakuza nguvu zako binafsi ambayo inakuwezesha pia kuwashawshi watu wengine. Tahadhari usiwe mbabe kwa watu. Hii pia ni namba nzuri sana kwa biashara na kazi lakini sio namba nzuri ya aliye mpweke kumtafuta mpenzi.

JUMLA IKIWA 2.
Hii ni namba ya mapenzi, ni namba nzuri kwa walio wapweke kutafuta wapenzi. Namba hii inaashiria hisia, mawasiliano ya kibusara na ushirikiano, pia ni namba nzuri ya biashara ya huduma na sio nzuri kwa madalali na watu wabishi.
 
kama mnadhani jamaa amewaboa baadhi ya watu hapa na kusema utabiri wake umepitwa na wakati karne hii ya 21 , jiulizeni ni kwanini hata makampuni makubwa yamefanikiwa na bidhaa zao zikianzia na i-tune, i-pad, i-phone, unadhani waliita tu hayo majina?
 
ndugu yangu M4C huwa wanaanza na Mungu na kumaliza na Mungu. Hayo maramli yako hatuyatambui hatuishi kwa ramli ss.
 
Back
Top Bottom