Ccm kweli inakufa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm kweli inakufa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mku, Apr 8, 2011.

 1. mku

  mku Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ukitaka kujua mwedelezo wa ngombe kwenye zizi unatazama ni ndama wangapi ulionao watakaokuwa wazazi wa kipindi hicho kijacho.....kwa hili CCM hawa ndama naona wanapungua na ni miaka sifuri tu hapo mbele zizi linakoswa ndama na kubakia na majike na madume mazee na yatakayokufa moja baada ya jingine. Tafakari
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,050
  Likes Received: 3,081
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda mno hii thread,mie cna jingne ila naiombea Ccm itangulie salama ikalazwe mahala pema...mauti hayana dawa mwisho wake umejiri,itubu kwanza ndo itaweza kufika huko ahela peponi.
   
 3. Z

  Zhu Senior Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tafakari nini. mchaga wa Chadema
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  una akili nyingi kuliko JK
   
 5. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Ccm imekposa watu wenye upe kuwapeka katika mjadala wa katiba wakapeleka watoto? Kweli ukipona paka kakubali kulala.....
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Ilisha kufa tutaizika rasmi 2015
   
 7. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona ilisha pigwa mchale muda mrefu, bado kudondoka tu. Nyoka akishajeruhiwa na kutoka damu huwa haponi mpaka afe. Huwa anakuwa kwa kuliwa na sisimizi tu maana kovu lake huwa haliponi. Nyoka ni mfano wa wanakijani
   
 8. mku

  mku Member

  #8
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Umebahatika kwenda kwa babu? labda uende huko ili akutoe matongotongo uone vizuri ndo uje ujoin ma greater thinkers hapa!
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Apr 9, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Lakini inaweza kufufuka endapo watagundua mapema....
   
 10. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama huna cha kuandika soma nondo za wenzio upite chalii
   
 11. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,315
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Na bahati mbaya, badala ya viongozi wao kujaribu kufanya mabadiliko yatakayowavuta vijana kuwaunga mkono, wanapanda mbegu za kuchochea vurugu. Hao vikongwe wao wataweza kuhimili vishindo kweli vurugu wanazochochea zikianza?
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  udini umetoka wapi tena hapa?
   
 13. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  R.i.p ccm
   
 14. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #14
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unajua tatizo lako kubwa ni uwezo wa kufikiri,ccm ife kwa lipi? Haya yanayo endelea ni matokeo ya ukubwa wa chama,usitarajie chama ambacho kinatafuta kutawala kiwe na conflict of interest wakati hakina deal.wakati wa uchaguzi jf ilitaka watu wote waamini kuwa dr slaa tayali ni rais na huku mkijua ukweli kuwa hamkuwa na nguvu kiasi hicho,hata leo mnakodi watu kuivuruga nchi mkizani mnadeal na watu wajinga wajinga ambao hawajui mnachofanya,poleni mtaijua ccm baadaye!
   
 15. mku

  mku Member

  #15
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ukikumbuka utacheka
   
 16. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,496
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Kuna dalili ya kupumgua kuaminika kwaCCM. *Prediction yako Ina unwell. Wasomi Wengi jhawakitaki. Watu wa mijini Nao. Lakini ni Mawazo ya juu juu tu. Tugetafuta statistics kuthibitisha Hilo. Ila Kama wasevo wahenga dalili za Mvua .... CCm Ina nafasi ya kijirekebisha ikijua unwell.  *
   
 17. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  uzuri ni kwamba ni mabingwa wa kusoma alama za nyakati lakini safari hii imeshindikana wameshikana pabaya wamechoka kupeana nidhamu ya uoga meno ya mbwa ayangatani lakini safari hii tunaona yakingatana tena hadharani wamepeana majeraha yasiyopona ata kwa nn wameshafika mahali pakusema bora chama kife.
   
 18. NAHUJA

  NAHUJA JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 15,084
  Likes Received: 15,722
  Trophy Points: 280
  acha ife wamezidi kujaza majitu majinga humo.
   
 19. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #19
  Apr 9, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Alama za nyakati ni kama ATM hazina stafu! Alikuwepo hitiler,frango,musson,mobutu,idd amin,fujimor na wengine wengi lakini imebaki historia! Kwakuonyesha kuwa ccm haitakiwi kuonekana hata ktk historia yabaadae mwanangu kila siku najitahidi kufundisha kuwa TANU ndicho chama halis cha ukombozi na nyerere ndiye rais halali aliyepata kuchaguliwa. Akiuliza je ccm namwambia kuwa ni genge la wezi sawa na Talban la AFghanistan au LRA la uganda. Hata ofisin kwangu natumia picha ya Nyerere!!
   
Loading...