CCM kuna utoto mwingi sana

CCM kuna utoto mwingi sana

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,882
Reaction score
828,451
Gwajima na mapungufu yake mengi tuu lakini this time around kaongea kitu kikubwa sana kilichogusa mamilioni ya watanganyika kwenye swala zima la utekaji

Wengi tulitegemea ndani ya chama chake apate support kubwa ama ajibiwe kwa hoja ..

Kinyume chake kuanzia uduvi, dagaa, kambale na sharubu zake mpaka papa la mapapa.. Woote katika umoja wao hakuna aliyeonesha hekima tafakuri wala heshima
Wallishindana kumshambulia kwa

Mipasho
Kejeli
Tuhuma
Matusi
Vitisho nknk

Wa juu kabisa walikaa kimya tuli, tukatajarajia kimya chao ni kimya cha tafakuri.. Lakini lahaula.... Walipofungua vinywa na misamiati mipya ikapatikana hapo.. Na hadhira ikaangua vicheko na kushangilia sana.. My beloved Tanganyika!😒🤔😪

Nikajikuta nakumbuka waswaheli waliosema

Lila na fila havitangamani... Na ndege wafananao huruka pamoja
ukiona mwanao yuko vizuri kichwani jua kaiga kwa mama au kwa baba .. Na kinyume chake
FB_IMG_1748619820626.jpg
 
Gwajima na mapungufu yake mengi tuu lakini this time around kaongea kitu kikubwa sana kilichogusa mamilioni ya watanganyika kwenye swala zima la utekaji

Wengi tulitegemea ndani ya chama chake apate support kubwa ama ajibiwe kwa hoja ..

Kinyume chake kuanzia uduvi, dagaa, kambale na sharubu zake mpaka papa la mapapa.. Woote katika umoja wao hakuna aliyeonesha hekima tafakuri wala heshima
Wallishindana kumshambulia kwa

Mipasho
Kejeli
Tuhuma
Matusi
Vitisho nknk
Wa juu kabisa walikaa kimya tuli, tukatajarajia kimya chao ni kimya cha tafakuri.. Lakini lahaula.... Walipofungua vinywa na misamiati mipya ikapatikana hapo.. Na hadhira ikaangua vicheko na kushangilia sana.. My beloved Tanganyika!😒🤔😪
Nikajikuta nakumbuka waswaheli waliosema
Lila na fila havitangamani... Na ndege wafananao huruka pamoja
ukiona mwanao yuko vizuri kichwani jua kaiga kwa mama au kwa baba .. Na kinyume chakeView attachment 3351434
IMG-20250530-WA0052.jpg
 
Yaani watu wenye wajibu wa kikatiba wakae na kuoteza muda kujibu uropokaji wa mtu anaweweseka kutafuta pakutokea? surely?

yaani mwenye akili apoteze muda kujibu upotoshaji ambao hauna ushahidi wala mashiko yoyote, kweli ?🐒
 
😂😂😂 let me reserve my comment.. Kwakuwq waliomjibu si haba...wengine hawafai hata kuwataja.. BTW naona Kama umewasema kiaina..
 
Sasa hv mwanaccm akiongea jambo la kuwafurahisha chadema bc lazima aonekane rafiki yao hata kama aliwaumiza 😂

Anyway, chadema mchukueni gwajima kama mlivyofanya kwa lowassa mana Kwa Sasa ni mali kwenu ili akashindane na wanaccm kwenye ubunge 😎
 
Yaani watu wenye wajibu wa kikatiba wakae na kuoteza muda kujibu uropokaji wa mtu anaweweseka kutafuta pakutokea? surely?

yaani mwenye akili apoteze muda kujibu upotoshaji ambao hauna ushahidi wala mashiko yoyote, kweli ?🐒
Mkuu ushahidi upi unao utaka zaidi ya Dr. Kitine, dogo Sativa, Soka, mzee Kibao n.k
 
CCM kuna wazee wa hekima na wataalam wa sheria kama mheshimiwa msekwa, mheshimia warioba, mheshimiwa philipo mangula yupo jaji Lubuva, yupo jaji chande, ukiwaweka cardinali Lugambwa na muft shehe mkuu wa bakwata tanzania mlete john heche na william nchimbi. hawa wote wakikaa pamoja na kujadili matakwa ya chadema lazima kutakuja suluhu ya kufanya mabadiliko ya katiba na tume huru?

sasa tunangoja mpaka ulaya na marekani waingilie kati kutatua jambo hili wakati watu wenye hekima wapo? haya mabadiliko ni matakwa ya mamilion ya wafuasi wa chadema na kama chadema ikipata sahihi milion kumi na tano kupeleka malalamiko ulaya na UN lazima watasikilizwa. chonde chonde ndugu zangu tusingoje kinuke kama Ivory cost, lebanon,na kenya.

mzee msekwa upo wapi? we are going one step in a wrong direction or right direction. do the math!
 
CCM ilichofanikiwa zaidi ni kuwekeza zaidi katika ujinga wa watanzania na asilimia kubwa ya watanzania ni wabinafsi wanajijali wao tu hawajali maisha ya watoto wao na wajukuu wao watakaokuja na kizazi chetu kitakachokuja tunaacha misingi gani ya kitaifa baada ya sisi kuwa tumeondoka Ili waikute Tanzania watakayofurahia kuishi kwa amani , kiuchumi ,kidemokrasia kijamii ,kiutawala bora, katiba inayoendana na nyakati tunazoishi n.k.

Huwa nakubaliana na hoja kwamba sisi watu weusi ni jamii ya watu wajinga zaidi duniani na inawezekana utafiti ukifanyika watanzania tukaibuka wa kwanza kuwa na idadi kubwa zaidi.

Ole wenu nyie watanzania msioona uchungu wa nchi yenu kwa kuwa mnapata kipande cha mkate muwapelekee na wanenu hatari mnaona kawaida na kutetea uovu, wakiisha wale magwajima na sisi kenge mtageukiwa mnaoshangilia.
 
Back
Top Bottom