Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kuhusu mambo mbalimbali yanayokihusu chama hiki kikongwe na nimegundua kwamba chama hiki kina matatizo makubwa na ya ukiukwaji wa katiba yao katika maeneo mbalimbali kwa kisingizio cha kusema ni utaratibu/utamaduni wetu. wao hawajali kabisa athari zinazotokana na maamuzi yasiyo zingatia katiba yao.
Katika hali hii pia hawajali mazingira ya sasa ya katiba ya nchi ili mradi wao waendelee kutawala hata kama ina mapungufu ambayo huko mbele yanaweza kutuletea shida.
Mfano mzuri ni jinsi wanavyochaguana kumpata mgombea Urais;kiukweli wamekiuka kabisa katiba yao. sasa watu wa namna hii watawezaje kuisimamia serikali kwa katiba yenye mapungufu?