Asanteeeeee mchumia tumbo wape hi wachumia tumbo wenzioHakuna haja ya mbinu bali mtangaza matokeo ale mayai mabichi sauti isikwaruze. Asome vizuri tu nambari zile za ushindi wa ccm kwa vyovyote vile. Bora tu waende kupiga kura hata watu 2 wanatosha kuutangaza ushindi wa kishindo kwa ccm. Chama pendwa mno na kila mtu hata huyo Salum Mwalim anakipenda hiki chama ccm
Una macho makali sana !Nimetafakari huu uteuzi nikaja kubaini kuwa huwnda hili lilifanyika kwa kuamini kuwa vyama pinzani vitasusia tena uchaguzi na hivyo wagombea hao hawatakuwa na upinzani wowote! Hii ni kutokana na kpsababu kwamba wagombea hawa hawawezi kuingizizwa katika kinyanganyiro chenye ushindani na bado wakachomoka kwa kuwa tayari wamepoteza mvuto na hata wananchi wao wanawasubiri wawaadhibu
Kwa hakika kama uchaguzi utakuwa huru na haki kwa hawa wagombea chadema hata wasipopiga kampeni wanashinda
Kimsingi kitendo cha Chadema kutangaza kushiriki uchaguzi huu kitakuwa kimeistua timu ya Lumumba kwani watalazimika kujipanga upya kutafuta mbinu za kuhakikisha watabaki na ushindi.
Hiyo ndio kete yao iliyobaki! Ushindi wa policcmHili liko wazi kabisa hata mimi nimeliona ila bwana yule ataagiza mtu wao atangzwe.
Hapa tujiandae tu kwenda mahakani.
Nimechumia wapi tumbo hapo?? Mbona hamjui hata kutumia maneno mahali pake?? Mimi sio Mtulia wala Mollel. Tumbo langu nimelichumia wapi?? Ngojeeni kipondo. CCM wamezichukua kura zooooote hata ya Salumuuuu na mwenzake wamemchagua MtuliaaaaaaaaAsanteeeeee mchumia tumbo wape hi wachumia tumbo wenzio
UnawashwawashwaHakuna haja ya mbinu bali mtangaza matokeo ale mayai mabichi sauti isikwaruze. Asome vizuri tu nambari zile za ushindi wa ccm kwa vyovyote vile. Bora tu waende kupiga kura hata watu 2 wanatosha kuutangaza ushindi wa kishindo kwa ccm. Chama pendwa mno na kila mtu hata huyo Salum Mwalim anakipenda hiki chama ccm
Thibitisha izi taarabu zakoHakuna haja ya mbinu bali mtangaza matokeo ale mayai mabichi sauti isikwaruze. Asome vizuri tu nambari zile za ushindi wa ccm kwa vyovyote vile. Bora tu waende kupiga kura hata watu 2 wanatosha kuutangaza ushindi wa kishindo kwa ccm. Chama pendwa mno na kila mtu hata huyo Salum Mwalim anakipenda hiki chama ccm
Wewe mnafiki kama Juliana shonzaHili liko wazi kabisa hata mimi nimeliona ila bwana yule ataagiza mtu wao atangzwe.
Hapa tujiandae tu kwenda mahakani.
Unawashwawashwa
Thibitisha izi taarabu zako
Kapakatwe ukunweKwa kuwa wewe ndio huwashwawashwa ndo maana umezijua dalili