Ombi - Tume ya uchaguzi iruhusu ccm kubadilisha wagombea Siha na Kinondoni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,600
218,005
Bila kumung'unya maneno ccm iliwapitisha wasaliti Mollel na Mtulia kugombea Siha na Kinondoni kwa vile tu waliamini kwamba UKAWA haitashiriki kwenye uchaguzi huu.

Kwa mfano , kumpambanisha MTU MASHUHURI AMBAYE PIA NI KIONGOZI WA JUU WA CHADEMA , MSOMI NA GWIJI LA HABARI , SALUM MWALIMU na mtu dhaifu , msaliti anayejua kusoma na kuandika pekee , ambaye hata ushindi wake wa 2015 ulitokana na mafuriko ya UKAWA ni sawa na uonevu mkubwa sana ! Mtulia hana uwezo wa kupambana na Mwalimu ndani au nje ya jukwaa la siasa .

Dr Godwin huyu laana ya usaliti haitamuacha salama , wema aliofanyiwa na Chadema hatousahau milele , alibebwa kwa mbeleko ya chuma , ukiacha tu kwamba hakuwa na uwezo wa kuwa mbunge lakini zaidi ni kwamba hana uwezo hata wa kuwa kiongozi wa Kwaya katika kanisa analosali , tukubali au tukatae lakini yale mafuriko ya chadema ya 2015 yalifikia hata kusomba matakataka , huyu baada ya Chadema kuweka mgombea mwenye uwezo , kamanda Mosi ni sawa na kumuondoa kwenye kinyang'anyiro.

Ndio maana naiomba Tume ya uchaguzi iruhusu ccm iweke wagombea wenye uwezo ili kunogesha kampeni , Chadema msirudie tena kuwasubiri ccm waweke mizigo ndio muonyeshe nia ya kushiriki , hilo jambo halikubaliki.
 
Sasa mkuu Mimi bado sijakusoma
Ibadili ili iweje sasa?
Kama ni dhaifu c ndo mtapita kirahisi nyie ukawa
We unataka asimame mwingine ili mshindwe uchaguzi??
 
Ugonile Mwamasangula , ndaga ni mbombo , ni hivi , unapopambanisha wagombea basi ni vema kukawa na uwiano japo hata kidogo basi .
 
Bila kumung'unya maneno ccm iliwapitisha wasaliti Mollel na Mtulia kugombea Siha na Kinondoni kwa vile tu waliamini kwamba UKAWA haitashiriki kwenye uchaguzi huu.

Kwa mfano , kumpambanisha MTU MASHUHURI AMBAYE PIA NI KIONGOZI WA JUU WA CHADEMA , MSOMI NA GWIJI LA HABARI , SALUM MWALIMU na mtu dhaifu , msaliti anayejua kusoma na kuandika pekee , ambaye hata ushindi wake wa 2015 ulitokana na mafuriko ya UKAWA ni sawa na uonevu mkubwa sana ! Mtulia hana uwezo wa kupambana na Mwalimu ndani au nje ya jukwaa la siasa .

Dr Godwin huyu laana ya usaliti haitamuacha salama , wema aliofanyiwa na Chadema hatousahau milele , alibebwa kwa mbeleko ya chuma , ukiacha tu kwamba hakuwa na uwezo wa kuwa mbunge lakini zaidi ni kwamba hana uwezo hata wa kuwa kiongozi wa Kwaya katika kanisa analosali , tukubali au tukatae lakini yale mafuriko ya chadema ya 2015 yalifikia hata kusomba matakataka , huyu baada ya Chadema kuweka mgombea mwenye uwezo , kamanda Mosi ni sawa na kumuondoa kwenye kinyang'anyiro.

Ndio maana naiomba Tume ya uchaguzi iruhusu ccm iweke wagombea wenye uwezo ili kunogesha kampeni , Chadema msirudie tena kuwasubiri ccm waweke mizigo ndio muonyeshe nia ya kushiriki , hilo jambo halikubaliki.
Sense...ahsante mkuu Erythrocyte.
 
Nimekutana na wanaccm wengi wa Kinondoni nakujua kumbe eti nao wanasusia kupiga kura kwa vile wanasema Mtulila sio mwanaccm mwenza bali ni wa Magu na Polepole na hawako tayari kumpa kura hata kidogo
Wasisusie, bali wakamchague mgombea wa chama kingine.
 
Nimekutana na wanaccm wengi wa Kinondoni nakujua kumbe eti nao wanasusia kupiga kura kwa vile wanasema Mtulila sio mwanaccm mwenza bali ni wa Magu na Polepole na hawako tayari kumpa kura hata kidogo
Matokeo yatawashangaza wengi
 
Mmeshasahau tatizo la kutokuwa na tume huru hilo mtalianzisha matokeo yakitangazwa
 
Back
Top Bottom