CCM kumteua Mtulia ( kinondoni) na Mollel ( Siha) walijua Chadema watasusia uchaguzi?

Hata wakisaidiana na policcm majimbo yote ni ya wajanja ni bora wakubali yaishe la sivyo damu itamwajika
 
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana.
Taifa limegawanyika kabisa
 
Nimetafakari huu uteuzi nikaja kubaini kuwa huwnda hili lilifanyika kwa kuamini kuwa vyama pinzani vitasusia tena uchaguzi na hivyo wagombea hao hawatakuwa na upinzani wowote! Hii ni kutokana na kpsababu kwamba wagombea hawa hawawezi kuingizizwa katika kinyanganyiro chenye ushindani na bado wakachomoka kwa kuwa tayari wamepoteza mvuto na hata wananchi wao wanawasubiri wawaadhibu
Kwa hakika kama uchaguzi utakuwa huru na haki kwa hawa wagombea chadema hata wasipopiga kampeni wanashinda

Kimsingi kitendo cha Chadema kutangaza kushiriki uchaguzi huu kitakuwa kimeistua timu ya Lumumba kwani watalazimika kujipanga upya kutafuta mbinu za kuhakikisha watabaki na ushindi.
Pale kwenye gun fight wewe unakuja na fists fight alafu unategemea kushinda, chadema mnachekesha sana
 
Nimetafakari huu uteuzi nikaja kubaini kuwa huwnda hili lilifanyika kwa kuamini kuwa vyama pinzani vitasusia tena uchaguzi na hivyo wagombea hao hawatakuwa na upinzani wowote! Hii ni kutokana na kpsababu kwamba wagombea hawa hawawezi kuingizizwa katika kinyanganyiro chenye ushindani na bado wakachomoka kwa kuwa tayari wamepoteza mvuto na hata wananchi wao wanawasubiri wawaadhibu
Kwa hakika kama uchaguzi utakuwa huru na haki kwa hawa wagombea chadema hata wasipopiga kampeni wanashinda

Kimsingi kitendo cha Chadema kutangaza kushiriki uchaguzi huu kitakuwa kimeistua timu ya Lumumba kwani watalazimika kujipanga upya kutafuta mbinu za kuhakikisha watabaki na ushindi.
Acha kujitoa ufahamu mbuzi ww. Kimeishtua lumumba au kimezidi kuiweka pabaya Chadema na kuionesha kuwa chama cha majuha? Kasoro zilizolalamikiwa uchaguzi uliopita hazipo tena?
 
Wakuu hamjajua siasa zinabadilishiwaga gia angani,ama kwa kusoma nyakati ama kwa kujisuta nafsini.

Hawa Lumumba wameona kuwa namba kimataifa na hata kwa wahenga zinawasoma wao zaidi na kuwasuta.

Nyoyoni aibu ikawafika kwa wanayowafanyia wenzao kisa wanadola.
Wakaona watafute jinsi ya kuwarudishia wananchi majimbo yao.

Kuwa mchezo wa kuyapora kwa staili ya kukunwa na utendaji ungewageukia kuwa aibu kidemokrasia.

Mpole wao anasema eti wamewakatalia maombi ya kurudi Lumumba wazito wa upinzani ishirini.Hawa ni waliofika dau sema tu wakachelewa kwani Lumumba walijirudi kuwa mchezo ni wa kijinga.

Mbona siasa zilishakwama nchini kwa staili hiyo.

Wameelimishwa umuhimu wa upinzani katika kujenga nchi.

Wangeuua upinzani halafu dhambi ya kuukosa ingewageukia wao kwa wao kupingana na wangekwama kiuchumi pia.

Taifa bila mawazo kinzani halipo.

Sio taifa tu,ni to any system.
 
Hakuna haja ya mbinu bali mtangaza matokeo ale mayai mabichi sauti isikwaruze. Asome vizuri tu nambari zile za ushindi wa ccm kwa vyovyote vile. Bora tu waende kupiga kura hata watu 2 wanatosha kuutangaza ushindi wa kishindo kwa ccm. Chama pendwa mno na kila mtu hata huyo Salum Mwalim anakipenda hiki chama ccm
Choko@work
 
Nimechumia wapi tumbo hapo?? Mbona hamjui hata kutumia maneno mahali pake?? Mimi sio Mtulia wala Mollel. Tumbo langu nimelichumia wapi?? Ngojeeni kipondo. CCM wamezichukua kura zooooote hata ya Salumuuuu na mwenzake wamemchagua Mtuliaaaaaaaa
Mchumia tumbo

Swissme
 
Ndiyo matatizo ya kukurupuka na kununua wachumia tumbo. Ndani ya chama miezi miwili baada ya kununuliwa kwa rushwa kubwa. Uchwara akawarusha na kuwadharau wafia chama.

Nimetafakari huu uteuzi nikaja kubaini kuwa huwnda hili lilifanyika kwa kuamini kuwa vyama pinzani vitasusia tena uchaguzi na hivyo wagombea hao hawatakuwa na upinzani wowote! Hii ni kutokana na kpsababu kwamba wagombea hawa hawawezi kuingizizwa katika kinyanganyiro chenye ushindani na bado wakachomoka kwa kuwa tayari wamepoteza mvuto na hata wananchi wao wanawasubiri wawaadhibu
Kwa hakika kama uchaguzi utakuwa huru na haki kwa hawa wagombea chadema hata wasipopiga kampeni wanashinda

Kimsingi kitendo cha Chadema kutangaza kushiriki uchaguzi huu kitakuwa kimeistua timu ya Lumumba kwani watalazimika kujipanga upya kutafuta mbinu za kuhakikisha watabaki na ushindi.
 
Acha kujitoa ufahamu mbuzi ww. Kimeishtua lumumba au kimezidi kuiweka pabaya Chadema na kuionesha kuwa chama cha majuha? Kasoro zilizolalamikiwa uchaguzi uliopita hazipo tena?

Kasoro bado zipo, lakini cdm walisusia ili kuufanya umma kujua kwamba kuna shida kwenye uchaguzi. Sasa cdm wameshatekeleza wajibu wao, ni juu ya tume kusimamia sheria za uchaguzi zinavyotaka na umma utakuwa macho kutaka kudhibitisha hicho cdm wanacholalamikia. Kama mlidhani cdm watasusia ndio mkawaweka hao mamluki basi mmeliwa. Tunawataka cdm wafanye siasa za kistaarabu lakini sio za woga. Ukiukwaji wowote wa sheria za uchaguzi utangazwe kwa nguvu zote kwenye vyombo vya kisheria na vya habari ndani na nje ya nchi. Iwapo vyombo vya dola vitajiingiza kuibeba ccm basi nguvu ya umma itumike ili kama mbaya na iwe mbaya. Na vile vikundi vinavyobeba mapanga cdm wawatangazie wanachama wake wawadhibiti wawezavyo hata ikibidi viberiti na matairi ya kuwachomea yasiwe mbali. Tuko tayari kwa uchaguzi wa kistaarabu na tutakubali kushindwa kimchezo na sio kwa figisu figusu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom