Ukweli mchungu kwa Wagombea wa CCM Kinondoni na Siha..!

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,697
9,048
Uchaguzi wa marudio kwa majimbo ya Kinondoni na Siha utafanyika mnamo tarehe 17 Februari,2018. Katika majimbo yote 2 kuna wagombea wa CCM ambao walichaguliwa mwaka 2015 kwa tiketi za vyama vya upinzani kwa maana ya Maulid Mtulia-CUF wa Kinondoni na Dr. Godwin Mollel-CHADEMA wa Siha

Baada ya hawa 2 kujiuzulu toka vyama vya upinzani na kurudi CCM kwa kisingizio cha kuunga mkono utawala(siyo uongozi) wa Rais Magufuli wanataka tena wachaguliwe mara ya 2 ndani ya miaka 2 tu warudi Bungeni kwa tiketi ya CCM.

Naomba hili Watanzania au Wananchi walioko Kinondoni na Siha wasikubali upuuzi huu wa kutumika kama TP(Toilet papers) za kuwarudisha tena Bungeni watu ambao wamejiuzulu kwa hiari yao wenyewe. Hakuna haja wala haingii akilini kumchagua mtu ambaye ni MSALITI wa mawazo ya Wapiga kura......!!!

Kama Maulid Mtulia wa Kinondoni na na Dr.Godwin Mollel wa Siha wamejiuzulu ubunge kwa hiari ili kumuunga mkono Rais basi wanatakiwa warudi kwa Magufuli akawapaingie kazi nyingine au Ubunge wa kuteuliwa ili waonyeshe uungaji wao mkono kwa magufuli lakini siyo kurudi tena Bungeni kwa kura za watu walewale waliowasaliti. Hilo halikubaliki na ninaomba Wapiga kura wa majimbo ya Kinondoni na Siha walielewe hili.

Kama Uchaguzi Mkuu 2015 Wananchi walichagua sera za Wapinzani kuwakilishwa Bungeni 2015-2020 basi Wapiga kura wa majimbo haya wanatakiwa kuwapigia kura tena wagombea toka upinzani na siyo CCM.... !Hivo Kinondoni mpelekeni Salim Mwalimu-CHADEMA na Siha mpelekeni Christopher Mosi-CHADEMA ili wakaendelea kuwakilisha mawazo ya upinzani Bungeni na siyo CCM...!!!!
 
Demokrasia ni pana sana; na ya kinondoni na Siha ni moja WaPo tu ya tabia zake.
 
Yaani wewe umeacha sababu zoote umeona la muhimu ni kuhama tu?

Umetazama upande wa pili? Ungewashauri wakazi wa kinondoni na siha wasichague wagombea wa cdm na cuf maana wameonyesha tabia ya kuhamahama ili wasirudi tena kwenye uchaguzi kama ilivyotokea 2015 wakawachagua na leo wamerudi tena kwenye uchaguzi maana hatujui ni nani kesho atamuunga mkono jpm kutoka cdm na cuf
 
Umkilo,
Kuhama ndiyo main reason....! Wewe una uhakika gani kama hawa wanaohamia leo CCM hawatarudi tena CHADEMA..??
Kama wewe ni mtu usiyejitambua, usiye na misimamo na usiyesimamaia kile unachokiamini basi siku zote utakuwa ni mfuata upepo na mwenye kuyumbishwa.
Jaribu kulinganisha sababu za kujiuzulu kwa Lazaro Nyalandu toka CCM na kuhamia CHADEMA na sababu za Maulid Mtulia(CUF)na Dr.Godwin Mollel(CHADEMA) wote kwenda CCM!! Reason: KUMWUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI.
Lazaro Nyalandu reason: KUPINGA UNYAMA ALIOFANYIWA NDUGU YAKE TUNDU LISSU NA MAJAMBAZI YASIYOJULIKANA KUTOKA CCM...!!!
 
Back
Top Bottom