CCM yawateua Dkt.Godwin Mollel kugombea Ubunge Siha na Maulid Mtulia kugombea Kinondoni katika Uchaguzi mdogo Januari 17

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,745
4,277
Chama cha Mapinduzi(CCM) kimewateua Dkt. Godwin Mollel kugombea nafasi ya ubunge Jimbo la Siha na Ndg. Maulid Mtulia kugombea Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi mdogo Februari 17

IMG-20180106-WA0013.jpg
 
Wadau
Chama Cha Mapinduzi kimefanya uteuzi wa wanachama wawili kugombea nafasi za Ubunge katika majimbo ya Siha na Kinondoni.
Dk Godwin Mollel ameteuliwa kugombea Jimbo la Siha.
Ndg Maulid Mtulia ameteuliwa kugombea Jimbo la Kinondoni.
Chanzo: Katibu Itikadi na Uenezi CCM
Humphrey Polepole
 
UKAWA HAYA MAJIMBO PAMBANENI KWANI HAWA KUTUINGIZA GHARAMA HADI TUNAKOSWA MAENDELEO NAAMINI WANANCHI WATATUELEWA.HAKUNA KUIJTOA..NASHAURI KINONDONI WAWAACHIE CUF NA KILE KILIMANAJARO ASIMAME CHADEMA
 
Ccm mbona mnawaya waya? Muwatangaze tu kuwa wabunge. Sisi hatuwezi kufanya siasa wakati ccm mnafanya mauaji. Never. Kwetu sisi damu za watanzania zina thamani kuliko vyeo.

Huyu muovu aliyeambiwa kutubu afanye hivi. Vingimevyo utabiri wa Lema utatimia.
 
Back
Top Bottom