CCM kumteua Mtulia ( kinondoni) na Mollel ( Siha) walijua Chadema watasusia uchaguzi?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Nimetafakari huu uteuzi nikaja kubaini kuwa huwnda hili lilifanyika kwa kuamini kuwa vyama pinzani vitasusia tena uchaguzi na hivyo wagombea hao hawatakuwa na upinzani wowote! Hii ni kutokana na kpsababu kwamba wagombea hawa hawawezi kuingizizwa katika kinyanganyiro chenye ushindani na bado wakachomoka kwa kuwa tayari wamepoteza mvuto na hata wananchi wao wanawasubiri wawaadhibu
Kwa hakika kama uchaguzi utakuwa huru na haki kwa hawa wagombea chadema hata wasipopiga kampeni wanashinda

Kimsingi kitendo cha Chadema kutangaza kushiriki uchaguzi huu kitakuwa kimeistua timu ya Lumumba kwani watalazimika kujipanga upya kutafuta mbinu za kuhakikisha watabaki na ushindi.
 
Hakuna haja ya mbinu bali mtangaza matokeo ale mayai mabichi sauti isikwaruze. Asome vizuri tu nambari zile za ushindi wa ccm kwa vyovyote vile. Bora tu waende kupiga kura hata watu 2 wanatosha kuutangaza ushindi wa kishindo kwa ccm. Chama pendwa mno na kila mtu hata huyo Salum Mwalim anakipenda hiki chama ccm
 
Asanteeeeee mchumia tumbo wape hi wachumia tumbo wenzio
 
Una macho makali sana !
 
Asanteeeeee mchumia tumbo wape hi wachumia tumbo wenzio
Nimechumia wapi tumbo hapo?? Mbona hamjui hata kutumia maneno mahali pake?? Mimi sio Mtulia wala Mollel. Tumbo langu nimelichumia wapi?? Ngojeeni kipondo. CCM wamezichukua kura zooooote hata ya Salumuuuu na mwenzake wamemchagua Mtuliaaaaaaaa
 
Hakuna haja ya mbinu bali mtangaza matokeo ale mayai mabichi sauti isikwaruze. Asome vizuri tu nambari zile za ushindi wa ccm kwa vyovyote vile. Bora tu waende kupiga kura hata watu 2 wanatosha kuutangaza ushindi wa kishindo kwa ccm. Chama pendwa mno na kila mtu hata huyo Salum Mwalim anakipenda hiki chama ccm
Unawashwawashwa
 
Thibitisha izi taarabu zako
 
Mkuu hata sio uchaguzi huu tuu, chaguzi yoyote ccm haipiti tukipiga kura na tukienda kiuwazi zaidi
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom